Huyu ndo anayetafutwa kwa kuficha sukariTetesi: Mshana jr atakuja kuthibitisha ndiyo au la!
Tetesi: Mshana jr atakuja kuthibitisha ndiyo au la!
Mshana atakuwa kaapply ulozi hapa sio bureTetesi: Mshana jr atakuja kuthibitisha ndiyo au la!
Ndiyo hivyo shemeji yako!
Kaka yangu kipenzi mshana Jr nielekeze kwako nije nikusalimu
Mkuu mshana jr unajua. Wewe ni ndugu yangu kabisa ila tu ulikuwa hujui? Sasa naomba unielekeze kwako ili nije kukuthibitishia udugu wetu!! Kwanza ukiniona tu utajua!! Maana tumefanana kama nyota!
Mshana jr akamatwe Mara moja na kufungwa jela..anakaa na mficha sukari ..huyu mficha sukari aletwe kwangu!!Tetesi: Mshana jr atakuja kuthibitisha ndiyo au la!