MSHANA JR VS THE BOSS PIGA KURA HAPA NANI RAIS WA JF?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,213
2,000
Baada ya mchujo leo ndo kumpigia kura nani anafaa kuwa mshindi na rais wa jf kwa muda wa mwaka mmoja
Na ni mshana jr vs The Boss
Atakayeshinda ataendeleza umoja na mshikamano wetu kama jamiiforums
Unapiga kura kwa kuandika jina la muhusika kati ya mshana jr na The Boss
Atakayeshinda ndiye rais wa jf mpaka tar 31 dec 2018 yaani mwaka mmoja
Haya piga kura yako sasa
NB:Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec 2016 saa 4 kamili usiku.
Haya chagua sasa
mshana jr vs The Boss
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341

NA AKILIZAKO BADO UNATAFUTA RAISI WA JF

UNAHISI DARUSO HII

HIVYO ViROBA AVIFAII KUNYWENI CHALLENGER AMA EMPIRE VYA UGANDA VIWAINGIE VIZuriI
 
CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520

Nani amekupa mamlaka ya kufanya huu upuuzi hapa JF?
 
CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520
2,000
NA AKILIZAKO BADO UNATAFUTA RAISI WA JF

UNAHISI DARUSO HII

HIVYO ViROBA AVIFAII KUNYWENI CHALLENGER AMA EMPIRE VYA UGANDA VIWAINGIE VIZuriI
Mkuu wakati wenzake wanatafuta maisha yeye anatafuta raisi wa JF..!! halafu mtu kama huyu anakuja hapa na kuanza kulalamika eti maisha magumu!!
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Baada ya mchujo leo ndo kumpigia kura nani anafaa kuwa mshindi na rais wa jf kwa muda wa mwaka mmoja
Na ni mshana jr vs The Boss
Atakayeshinda ataendeleza umoja na mshikamano wetu kama jamiiforums
Unapiga kura kwa kuandika jina la muhusika kati ya mshana jr na The Boss
Atakayeshinda ndiye rais wa jf mpaka tar 31 dec 2018 yaani mwaka mmoja
Haya piga kura yako sasa
NB:Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec 2016 saa 4 kamili usiku.
Haya chagua sasa
mshana jr vs The Boss
Africa ahidaa
 
Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom