ni elimu piaMshana Jr ndugu yangu urithi wa mtoto si ni elimu? Au hii elimu kwako ina maana pana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mzee mmoja niligombana nae mahali akaniambia 'UNANIJUA MIMI NI NANI? NAWEZA KUKUAMBIA MKEO ALIPO NA ANAFANYA NINI SASA HIVI...!' nikaona biashara ishakuwa nzito bora niwe mdogo tu. nahisi hawa ndio watoto wake.
Mkuu habari,