Mshana Jr uko wapi siku hizi?

Wakuu habari za usiku?

Huyu member wa JF alizoeleka sana kuandika thread za kutisha tisha, lakini siku hizi yupo kimya sana sijui ni kwanini.

Je, ni Corona? Nimemiss thread zako za vitisho na vimbwanga. Kama upo humu basi njoo tuendeleze mijadala.


Nawapenda wana JF wote.
Nipo kaka.. Kolonya ilinitembelea kiaina ila sasa niko byiee kabisa

Jr
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom