Mshana Jr post zako zinatisha kufungua

iamwangdamin

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
811
1,603
Napenda sana JamiiForums lakini ndugu yangu Mshana , topic zake zinanifanya nitake kujua mengi kuhusu jamaa. Je, ndugu yangu mbona umebase kwenye mambo ya kuzimu , uchawi nk?

Post zako binafsi naziogopaga wallah.

Siku njema wadau
 
Hiyo tittle haijakaa kama imeandikwa na mwanaume kama wewe ni wakiume lakini, Sina maana mbaya ila hiyo 'jamani' sioni kama imekaa vizuri kwa wanaume kuandika kama hivyo
 
Wewe ukiziona pita tu.. Usianze kuzichokonoa chokonoa... Kuna wapenzi wake... Nikama mimi nianze kukuambia utest umeme kwa ulimi.
 
Hiyo tittle haijakaa kama imeandikwa na mwanaume, kama wewe ni wakiume lakini. Sina maana mbaya ila hiyo 'jamani' sioni kama imekaa vizuri kwa wanaume kuandika kama hivyo
Kuna maneno ya me na ke ee
 
Napenda sana jamii forum lakini ndugu yangu Mshana , topic zake zinanifanya nitake kujua mengi kuhusu jamaa, je ndugu yangu mbona umebase kwenye mambo ya kuzimu , uchawi nk ,? Post zako binafsi naziogopaga wallah. Siku njema wadau
Wajinga ndio waliwao..!!
 
Napenda sana jamii forum lakini ndugu yangu Mshana , topic zake zinanifanya nitake kujua mengi kuhusu jamaa, je ndugu yangu mbona umebase kwenye mambo ya kuzimu , uchawi nk ,? Post zako binafsi naziogopaga wallah. Siku njema wadau
Kwa uoga huo utakuwa Mwanaume wa Dar wewe...!!

Mbona anayoyaandika ni ya kawaida tu...Ukiamua kuushughulisha Ubongo wako hata wewe unaweza ukawa unatuletea mambo kama ya Mshana.

Nimemsoma mshana ni mtu anayesoma sana Vitabu.
 
Vitabu au ana google sana some santeria stuffs ,, all this vodoo stuffs he shud go visit Haiti , free citizenship for mshana
 
fd1042b05efd5a077cd226b4678dc7af.jpg
65de393c091b8aa77a17c65ce7743f6f.jpg
4838918f676622c9e5afbe3685fdc2cb.jpg

And then kill them with deadly silence to make them more furious
 
Kupitia post za mshana jr mie najifunza mengi sana, Mkuu Mshana Jr usikate tamaa kutuelimisha kwa sababu ya haters wachache mungu akujalie maisha marefu uendelee kutuelimidha, good day mkuu
Good night @hebie
024163ed2334f7bb7b796d16948ff9e1.jpg

To be stronger you need followers but to be the strongest you need HATERS
 
Back
Top Bottom