Mshana Jr, Pascal Mayalla na Gentamycine, mtoe kitabu kilichosheheni threads mlizopost JamiiForums kwani zina mafundisho mazuri sana

Hapo kwa Genta sijui manini umebugi. Huyo jamaa much know!!

Anaendeshwa na LIBIDOS zilizochanganyika na EGOS mixer matusi na misifa utadhani anapajua homeland BUKOBA, a blessed place.

Kary'Enteeee.
Huwa naamini huyu jamaa Gentamycine Ana matatizo ya akili na ni mtumwa wa akili zake.

Wakinga wanasemaga "kujiona Una akili Sana kuliko wengine ni matatizo ya akili"
Usimchukulia serious Sana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom