Mshana Jr na wenzake

mkuu usibabaike na typing zao hapa jamvini wana C&P from Google niwatupu balaaa......
 
Mshana Jr atawaroga wote hao watakua wanawake atawaoa alafu atajaribu kuwapa mimba..

Mzizi mkavu
Γ takua bimkubwa + uzee mimba haitaingia

@lifecoaded
atashika ujauzito na atajaribu kuitoa hiyo mimba

Zurri
atakua na wivu sana atakula sana udongo

Kiranga
mimba itaingia ila kwa kubakwa na hivi mshana ana manguvu

The bold
huyu mimba itaharibika ikiwa na miezi6

Rakims
atajifungua katoto kaa ajabu kanatisha na atampa limbwata mshana

pasco mimba itaharibika kwa sababu ya umbea umbea

Bora wasikae karibu kwa sababu wakikaa karibu watatokeza kitu cha ajabu kwani uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana..
Hata kama wana google amini uwezo wao wa kufikiria ni mkubwa mno,
Kwa uwingi tuna access ya kuingia google mbona hatuyaleti hayo mambo humu,tunaona aibu kwa sababu tunagoogle udaku..
 
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
Huyo pasco si ndo yule mlamba miguu wa jiwe anaesubiri teuzi muda mrefu?
 
Kiranga can play all part jamaa huwa haishiwi cha kudiscuss kabisa anzia kwenye siasa and any shit ya know lakini kwenye dini huwa hana hoja kabisa mweupe.

Mshana Jr kwenye mambo ya dini,uchawi,uganga na mengine mengi yaendanayo na hayo siasa hell no si fani yake ile.

The bold alikuwa mtafsiri tu.

lifecoded ni mtu wa mambo ya sayansi sana so huwezi kumuweka meza moja nq Mshana Jr.

MziziMkavu mtu wa mitishamba huyu wakae meza moja na Kiranga ili kitokee nini pengine wafanye nini kwa maoni yako.

zitto mwambie mambo ya ACT wazalendo tu.

pasco huwa ni mchambuzi wa siasa na MC pia sasa atajadili nini na lifecoded

pasco , Mshana Jr, Rakim wanaweza wakakaa meza moja na kujadili mambo mfano meditation na mengineyo.

Kiranga na lifecoded wanaweza wakakaa na kujadili mambo ya kina tesla ,hawking na mengineyo

But all of em wanaweza wakakaa meza moja na kujadili siasa kitakachotekea sijui

Hii mada haifai kuwa kwenye hili jukwaa.
ha ha ha
 
HUU UZI NDO UNAGUNDUA JAMIIFORUMS INA VILAZA SUGU. HAO ULIOWATAJA WANA NINI AMBACHO WAMEGUNDUA ZAIDI YA KUONGELEA ISSUES AMBAZO WENYE AKILI WALISHAZIONGEA HAWA WANAKUJA KUTAFSIRI HUMU? au habari za kichawi?

MSIKUMBATIE SANA UKILAZA.
 
:D:D:D:D:D Heri hao vilaza kuliko wanajua then wamekaa kimya.
 
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..

Hahaaaaa
 
HUU UZI NDO UNAGUNDUA JAMIIFORUMS INA VILAZA SUGU. HAO ULIOWATAJA WANA NINI AMBACHO WAMEGUNDUA ZAIDI YA KUONGELEA ISSUES AMBAZO WENYE AKILI WALISHAZIONGEA HAWA WANAKUJA KUTAFSIRI HUMU? au habari za kichawi?

MSIKUMBATIE SANA UKILAZA.
Nini kinakuuma mkuu ili utibiwe??
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom