Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,693
- 53,722
Mnataka wafanyaje sasa?Mimi napendelea wafanye "uhaini"!ππππππ
Inawezekana aisee hii Jf ni zaidi ya kichakaHuyu mdau ameamua kunitusi,ila mimi nimempa udhuru na kumpa amani kadhalika.
Kuitwa 'Mama' sio tusi hata kidogo, fikiria upendo ulio nao kwa mama mzazi.
Angekuita 'Danga' hapo hata mimi ningekimbia.
Huyo pasco si ndo yule mlamba miguu wa jiwe anaesubiri teuzi muda mrefu?Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
ha ha haKiranga can play all part jamaa huwa haishiwi cha kudiscuss kabisa anzia kwenye siasa and any shit ya know lakini kwenye dini huwa hana hoja kabisa mweupe.
Mshana Jr kwenye mambo ya dini,uchawi,uganga na mengine mengi yaendanayo na hayo siasa hell no si fani yake ile.
The bold alikuwa mtafsiri tu.
lifecoded ni mtu wa mambo ya sayansi sana so huwezi kumuweka meza moja nq Mshana Jr.
MziziMkavu mtu wa mitishamba huyu wakae meza moja na Kiranga ili kitokee nini pengine wafanye nini kwa maoni yako.
zitto mwambie mambo ya ACT wazalendo tu.
pasco huwa ni mchambuzi wa siasa na MC pia sasa atajadili nini na lifecoded
pasco , Mshana Jr, Rakim wanaweza wakakaa meza moja na kujadili mambo mfano meditation na mengineyo.
Kiranga na lifecoded wanaweza wakakaa na kujadili mambo ya kina tesla ,hawking na mengineyo
But all of em wanaweza wakakaa meza moja na kujadili siasa kitakachotekea sijui
Hii mada haifai kuwa kwenye hili jukwaa.
Heri hao vilaza kuliko wanajua then wamekaa kimya.HUU UZI NDO UNAGUNDUA JAMIIFORUMS INA VILAZA SUGU. HAO ULIOWATAJA WANA NINI AMBACHO WAMEGUNDUA ZAIDI YA KUONGELEA ISSUES AMBAZO WENYE AKILI WALISHAZIONGEA HAWA WANAKUJA KUTAFSIRI HUMU? au habari za kichawi?
MSIKUMBATIE SANA UKILAZA.
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
Huyu mume anawezaje kukaa na katoto kazuri hivi kama wewe? Naanda mapinduzi na sijawahi kushindwa mimiAbee mume nilitaka nikuwakilishe
Nadhani swali lingekuwa we m'bibi umewezaje kukaa na kijana mzuri kama huyuHuyu mume anawezaje kukaa na katoto kazuri hivi kama wewe? Naanda mapinduzi na sijawahi kushindwa mimi
Nini kinakuuma mkuu ili utibiwe??HUU UZI NDO UNAGUNDUA JAMIIFORUMS INA VILAZA SUGU. HAO ULIOWATAJA WANA NINI AMBACHO WAMEGUNDUA ZAIDI YA KUONGELEA ISSUES AMBAZO WENYE AKILI WALISHAZIONGEA HAWA WANAKUJA KUTAFSIRI HUMU? au habari za kichawi?
MSIKUMBATIE SANA UKILAZA.
Ndio naanda mapinduzi, hi vita wewe haikuhusu ni mimi na huyo unae kaa nae, halafu sijawahi kupanga mapinduzi yakanishinda; jiandae kuhama KAMBINadhani swali ningekuwa we m'bibi umewezaje kukaa na kijana mzuri kama huyu
basi mimi yangu machoNdio naanda mapinduzi, hi vita wewe haikuhusu ni mimi na huyo unae kaa nae, halafu sijawahi kupanga mapinduzi yakanishinda; jiandae kuhama KAMBI