Mshana Jr na wenzake

QUOTE labda kiranga ndo ataleta kidogo mtafaruku
Kiranga na mshana hawawezi kukaa pamoja maana mshana alishawahi mwanzishia hadi sredi
Bibi yetu nae atazingua maana Ni taqbir Allah Akbar kwa kwenda mbelle

zurri mama wa
nipo..... Kila kitu atakuwa anasema nipoo
 
Kiranga can play all part jamaa huwa haishiwi cha kudiscuss kabisa anzia kwenye siasa and any shit ya know lakini kwenye dini huwa hana hoja kabisa mweupe.

Mshana Jr kwenye mambo ya dini,uchawi,uganga na mengine mengi yaendanayo na hayo siasa hell no si fani yake ile.

The bold alikuwa mtafsiri tu.

lifecoded ni mtu wa mambo ya sayansi sana so huwezi kumuweka meza moja nq Mshana Jr.

MziziMkavu mtu wa mitishamba huyu wakae meza moja na Kiranga ili kitokee nini pengine wafanye nini kwa maoni yako.

zitto mwambie mambo ya ACT wazalendo tu.

pasco huwa ni mchambuzi wa siasa na MC pia sasa atajadili nini na lifecoded

pasco , Mshana Jr, Rakim wanaweza wakakaa meza moja na kujadili mambo mfano meditation na mengineyo.

Kiranga na lifecoded wanaweza wakakaa na kujadili mambo ya kina tesla ,hawking na mengineyo

But all of em wanaweza wakakaa meza moja na kujadili siasa kitakachotekea sijui

Hii mada haifai kuwa kwenye hili jukwaa.
 
Huyu mdau ameamua kunitusi,ila mimi nimempa udhuru na kumpa amani kadhalika.
Kuitwa 'Mama' sio tusi hata kidogo, fikiria upendo ulio nao kwa mama mzazi.
Angekuita 'Danga' hapo hata mimi ningekimbia.
 
Kuitwa 'Mama' sio tusi hata kidogo, fikiria upendo ulio nao kwa mama mzazi.
Angekuita 'Danga' hapo hata mimi ningekimbia.
Kwangu hili ni tusi,sababu hajaweka tamko hilo mahala pake na linachukiza. Mwanaume kuitwa mwanamke kwa dhulma ni tusi.

Labda kama wewe ni mwanamke unaependa kuitwa mwanaume,sababu wapo wanawake wanao tamani kuwa wanaume.

Yaani amenitukana kwa kunizullia jinsi ambayo si yangu.

Nawakumbusha tu kuchunga heshima za watu,mfikishie habari aliyeniita mimi "mama".

Nipo ....
 
Hawawezi kufanya lolote maana mawazo yao mengi wanayotoa hapa ni mawazo ya watu ambayo wao wanafanya kusoma tu kwenye vitabu tofauti na kisha kuwasilisha hapa kwa wasiopenda kujisomea. Hapo itakuwa ni umbea tu kwendea mbele
Sikubaliani na wewe.
Uchambuzi na kukubali midahalo ni ishara ya kufahamu nini amesema
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom