Hatari sanaSio mimi ni wafukua makaburi kaka
Mkuu kila mtu na imani yake, wewe unaona anachofundisha ni imani ya kishetani wenzio wanaona ndio imani bora wa jamii,..Kwa ufupi kila mtu ana haki ya kukiabudu kile anachokitaka...Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Kwani hizo mada anakuandikia wewe?? Au ukoo wenu ??Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Wanapokuelewa wachache kuliko wengi jua kuna shidaMtoa mada anaongea ukweli ambao ni wachache sana watamuelewa.
Unakosa mengi sananilisha acha kusoma mada za Mshana, kind of demonic teachings... mafundisho yake hayako mbali na mafundisho ya kishetani
Hujui ulichoandika mkuu, we ndo mchawi, nuru na Giza havikai pamoja. Alafu inaonekana una ujinga ujinga flani hivi jichunguze.Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
nilisha acha kusoma mada za Mshana, kind of demonic teachings... mafundisho yake hayako mbali na mafundisho ya kishetani
Na siku zote jamaa wamekifaulu sana walichokihitaji wameufanya ukweli uonekane uongo na uongo uwe ukweli halisi. Ndiyo maana siyo ajabu kuitwa mpinga kristo au mchawi all in all anayesema hivyo hakijui anachokiamini kimetokea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui ulichoandika mkuu, we ndo mchawi, nuru na Giza havikai pamoja. Alafu inaonekana una ujinga ujinga flani hivi jichunguze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani ukimuons utamjua?!nilisha acha kusoma mada za Mshana, kind of demonic teachings... mafundisho yake hayako mbali na mafundisho ya kishetani