Mshambuliaji mpya wa Simba toka Ivory Coast

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Screenshot_2016-07-04-15-46-29.png
 
Attachments

  • IMG-20160704-WA0004.jpg
    IMG-20160704-WA0004.jpg
    100.4 KB · Views: 63
Tatizo la SIMBA siyo Kocha wala siyo wachezaji,tatizo ni uongozi,hata wakitetwa kina Messi haitapata mafanikio,Mchawi wa SIMBA ni AVEVA na wenzake.
 
ni mapema sana kutoa maoni tusubiri tumuone uwanjani kwani mpira unachezwa hadharani. akiwa galasa kama papa ndaw na akufor ni viongozi wenyewe watakuwa wamejiaribia na sidhani kama hawajajifunza kutokana na makosa yaliyofanyika huko nyuma kwani niliwasikia wakisema hawatasajili tena wachezaji wa kigeni wanaoletwa na mawakala kwa majaribo zaidi watasajili wachezaji waliowafuatilia wao wenyewe kwa muda mrefu.
 
Simba wanazingua sana, website yao na mitandao ya kijamii yote imelala fofofo...
 
Wako bize kuchunghuza mapungufu ya Yanga na kuyakosoa hadharani wasijue ndio wanawapa Yanga mwanya wa kurekebisha na kujiimarisha zaidi!
 
Acha waendelee na uongozi wao wa matukio. Wanataka taarifa zao tuzipate kweny magazeti ya udaku wakati vyanzo vyao vya habari vipo na walivizindua kwa mbwembwe.

Angalia account yao ya twitter hakuna jipya, website haina jipya, fb zero.

Pumba tupu.
 
ni mapema sana kutoa maoni tusubiri tumuone uwanjani kwani mpira unachezwa hadharani. akiwa galasa kama papa ndaw na akufor ni viongozi wenyewe watakuwa wamejiaribia na sidhani kama hawajajifunza kutokana na makosa yaliyofanyika huko nyuma kwani niliwasikia wakisema hawatasajili tena wachezaji wa kigeni wanaoletwa na mawakala kwa majaribo zaidi watasajili wachezaji waliowafuatilia wao wenyewe kwa muda mrefu.
Another Pape Nd'aw?
 
Back
Top Bottom