Mshambuliaji kujidondosha ndani ya penati box ni kadi nyekundu ya mojakwamoja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshambuliaji kujidondosha ndani ya penati box ni kadi nyekundu ya mojakwamoja?

Discussion in 'Sports' started by ligendayika, Oct 4, 2012.

 1. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  nILIANGALIA MECHI YA JANA YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA ILE KADI YA MCHEZAJI WA YANGA NI SAHIHI
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unatoa taarifa au umeamua kuongeza idadi ya post!!!!!!!!
   
 3. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  vyovyote ...idadi ya post itaongezeka tu
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni red card kama huyo mchezaji aliyeangushwa amekua denied a goal scoring opportunity...ila kama wakati anaangushwa alikua yuko kwenye position or mpira ulikua kwenye angle ambayo asingeweza kufunga then sio RED card
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka kumuona Akrama akimpatia yellow kwanza iliyofuatiwa na red,hiyo inamaanisha pengine Msuva alikuwa na yellow kabla ya kupigwa ile yellow ya 2 iliyosababisha ifuatiwe na nyekundu,mimi sina tatizo sana na adhabu ile tatizo langu ni ile rafu ya Boban ile ilikuwa ya red ya 1 kwa 1 na kibaya zaidi yule Mwamuzi alikuwa eneo lilelile tu lkn bado akili yake ilishindwa kuona adhabu stahili ya kosa lile,kwakweli kwa kitendo kile yule Mwamuzi amenisikitisha sana
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Duuh lakini alikitwa kimaukweli mpaka nikaogopa lakini nilipo kumbuka uhuni alitufanyia nakasema niafadhali hata avunjike kabisa bado Twite...Maana na yanga mlimkita Edo nikajua mmekavunja.
   
 7. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kujidondosha ndan ya penalt box ni red card kama mazingira ni udanganyifu tu maana ulikuwa unamuhadaa mwamuzi akupe penati na ampe redcard defender aliyekuwa anakuzuia usipite... Maana sheria inasema anayemchezea rafu mshambuliaji ili kuzuia goal scoring opportunity ni red card.. Sasa kama wewe unadanganya kusababisha mwenzako apewe red card na penalty juu lazima upate adhabu ya red card as kama fundisho
   
 8. M

  Masuke JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Yule dogo alipewa njano baada ya kujiangusha kwenye eneo la penati na yule dogo bila hata staha kwa refa akampiga teke Nyoso pale pale mbele ya refa na refa alikuwa anaona, hivyo refa hakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kumpa straight red kwa kosa la kumpiga Nyoso.
   
 9. C

  Chesty JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,353
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ni kweli Boban alitakiwa apate red card, ila Yanga red card ingeenda kwa Yondani mwenyewe, Chuji, Mbuyi Twite na Kanavaro. Walikuwa wanacheza karate sio rafu.
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hiyo umeiongezea wewe maana kwenye sheria za kawaida haimo!
   
 11. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwa kosa hilo la Msuva kumpiga mchezaji mwenzake uwanjani:- anastahili kulipa faini sh.500,000 za kitanzania na kukosa mechi tatu mfululizo.
   
 12. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  justification izo za refa kujitaidi kuipaisha simba mbeleko km kawaida yao
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka Geoghe Haggi wa Romania alipewa kadi nyekundu kwa kujiangusha wakati wa mechi ya kombe la dunia kati ya Italia na Romania kwenye uwanja wa Kumamoto huko Japan
   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Na kosa la yule mchapa viroba Boban je? Adhabu yake iwe kustaafishwa kabisa kwenye soka
   
Loading...