Mshahara wa Tsh 1.4M (gross salary) nitapokea take-home kiasi gani?

Wakuu, nimepata kazi kwenye kampuni moja, mshahara ni 1.4M gross salary.
Nina mkopo wa bodi ambapo nilipewa kama 84% ya ada.

Kwa mshahara huo baada ya kuondoa makato yote nitapokea kiasi gani??

Na je kiwango cha mwisho cha kukopa bank ni kiasi gania?



Sent using Jamii Forums mobile app
TZS 1,400,000 - PAYE 260,100 - HELSB 210,000 - NHIF 42,000 (kama wanachangia) - Pension 140,000 = 747,900
 
Hilo nalo jambo, nahisi kama wamekariri maana wengine mshahara unaishia baa
Kuna ile bill ya Makulaji SAMAKI-SAMAKI ilikuwa inasambaa Whatsapp juzi kati..... yule ndio mf wa watu wanaopata TEKIBAA! Ha-aah! Ha-aah! Ha-aah!
 
Back
Top Bottom