Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

kibheri

Senior Member
May 18, 2014
105
38
Wakuu habari,

Naomba kufahamishwa kiasi cha mishahara kwa wafanyakazi wa TRA wa ngazi zote kwa ujumla. Hususani naomba kufahamishwa mshahara wa TRA kwa custom officer au Tax officer mwenye degree
 
huku kuna vitisho sana. wengine wanauliza lini wataitwa,wengine wanauliza mshahara.
KAMUULIZE ALIYEKUITA KABLA YA WENZANKO KUITWA
 
Watu hawaishi kwa mshahara kwenye hizi kazi zetu. Wewe km umepata kazi shukuru mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom