Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond


wabongo acheni ushamba mishahara ya wachezaji wa ligi kuu ya uingereza ipo wazi.
samata anaweza kuwa anakula Pound 5,000 au chini ya hapo kwa week, haitapita week data za mshahara wake zitawekwa wazi
 
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..


90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
Acha kupaniki jombaaaa. Komaaa kivyakoo hizo tantalila za niniii humuuu.
 
Diamond patnumz naweza sema ndiye msanii mkubwa Tanzania lakini nashangaa kwa nini huwa hana creativity ya kuintroduce kitu kipya kwenye mziki wetu wa bongo fleva yeye ni kucopy tu hadi dance styles.
 
Back
Top Bottom