Mshahara wa refa(mpuliza kipenga)

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,380
Kwanza napenda kujua Muajiri rasmi wa hawa wapuliza kipenga ni nani katika ngazi yoyote(hapa simaanishi wale wa mechi za kombe la mbuzi). Pia vipi kuhusu mishahara yao Maana naona jamaa wanashughuli pevu kurandaranda uwanjani dakika 90.
 
mkuuu kama ni kombe la mbuzi....anasubili mshindi apatikane then wakichinja anapewa shea yake.
 
Hawana mshahara wanapewa posho ya laki mbili kwa mechi, mwajiri wao ni chama cha referees, hii ni kwa wale wa premier league na daraja la kwanza!
 
Referees who are operating mostly in the Premier League — are believed to earn a basic salary of around £65,000 per year, while they also receive fees in excess of £1,000 per game in the top flight. If they were to officiate 38 games in a season, it would bring their overall pay to more than £100,000.
 
Mwamuzi atalipwa na chama cha soka ambacho kitakua ni mwenyeji wa michuano husika.
Mfano kwa Tanzania ligi kuu mwenyeji wa michuano ni TFF kwahiyo TFF ndiyo atakua analipa mwamuzi, mfano michuano ya Kinondoni KIFA ndiyo watamlipa mwamuzi katika michuano husika.
Malipo ya waamuzi kwa Tanzania ni posho, wanalipwa kulingana na uzito wa mechi, mwamuzi ambaye anaonekana anamudu michezo huyu ataweza kuamua mechi nyingi hivyo na malipo kua juu mfano kwa miaka mitano nyuma alikua Othman Kazi kisha akaja Israel Nkongo.

Hua wanafanya siri lakini nilisikia malipo yao hayapungui elfu 20 ila hayazidi laki moja.
 
Hawana mshahara wanapewa posho ya laki mbili kwa mechi, mwajiri wao ni chama cha referees, hii ni kwa wale wa premier league na daraja la kwanza!
duh..laki mbili na kukwepa mingumi kote kule,aisee
 
Mwamuzi atalipwa na chama cha soka ambacho kitakua ni mwenyeji wa michuano husika.
Mfano kwa Tanzania ligi kuu mwenyeji wa michuano ni TFF kwahiyo TFF ndiyo atakua analipa mwamuzi, mfano michuano ya Kinondoni KIFA ndiyo watamlipa mwamuzi katika michuano husika.
Malipo ya waamuzi kwa Tanzania ni posho, wanalipwa kulingana na uzito wa mechi, mwamuzi ambaye anaonekana anamudu michezo huyu ataweza kuamua mechi nyingi hivyo na malipo kua juu mfano kwa miaka mitano nyuma alikua Othman Kazi kisha akaja Israel Nkongo.

Hua wanafanya siri lakini nilisikia malipo yao hayapungui elfu 20 ila hayazidi laki moja.
teh teh sasa ww ndio umepunguza dau kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom