Mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

sniper05

Senior Member
Dec 11, 2014
101
49
Ukisha jua mapato ya taifa yataongezeka?? Au ukisha jua foleni ya Dar es salaam itaisha. ???
 
KABLA MTU HUJALAZIMISHA KUJUA MSHAHARA WA MTU MWINGINE INABIDI KWANZA UPIGE PICHA YA SALARY SLIP YAKO NA UIPOST HUMU ILI KILA MTU AJUE MSHAHARA WAKO ILI TUKUONE KWELI UNAPENDA UWAZI.VINGINEVYO NI UNAFIKI TU.
 
Mishahara inatofautina mno jamani mbona mnawafanya watu wengine kama hawaendi sokon,,,
 
Barack Obama Mshahara wa Rais Obama ni Dollar laki 4
President US
Born: USA, Hawaii 1961
Married
Children: 2

  • Annual: USD 395,000.00 Mshara wa mwezi
  • Monthly: USD 32,916.00 matumizi ya mwezi
  • Weekly: USD 7,596.00 Matumizi ya siku 7
  • Daily: USD 1,082.00 Matumizi ya kila siku
picture

President Obama Administration Wage, Salary, Pay: Obama, Joe Biden, John Kerry, Ashton Carter, James Comey, James Clapper, John Brennan, Jack Lew, Mathews Burwell, Denis McDonough,
 
Ndg wanajukwaa;

Katika hali iliyopo Sasa wananchi tumekua tukijiuliza maswali mengi kuhusu kiwango halisi cha mshahara anacholipwa rais wa Tanzania.
Kwa haraka haraka nimepitia nyuzi tofauti kwenye mitandao na kugundua kuwa Rais wa Tzee analipwa kati ya 24 million na 32 million kwa mwezi sawa na dola 192,000 Sawa na 400 millions kwa mwaka

Sources;

Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili. Dola 192,000ni sawa na Shs 416,640,000!

Zitto sasa aanika mshahara wa Rais
Wewe kama hujui kitu unachoandika huku ndani soma tu ya wenzako ujifunze. Hivi Tzs 24,000,000 ni sawa na USD 192,000
 
Ndg wanajukwaa;

Katika hali iliyopo Sasa wananchi tumekua tukijiuliza maswali mengi kuhusu kiwango halisi cha mshahara anacholipwa rais wa Tanzania.
Kwa haraka haraka nimepitia nyuzi tofauti kwenye mitandao na kugundua kuwa Rais wa Tzee analipwa kati ya 24 million na 32 million kwa mwezi sawa na dola 192,000 Sawa na 400 millions kwa mwaka

Sources;

Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

Zitto sasa aanika mshahara wa Rais
toa umbea wewe hujui mshahara wa rais wa tanzania
 
Kwa mujibu wa African Review mwaka 2015, Mishahara ya baadhi ya Marais wa Afrika ni:

1.Cameroun - Paul Biya US$610,000 kwa mwaka.
2.Morocco - King Mohamed VI US$480,000 kwa mwaka
3. South Africa - Jacob Zuma US$272,000 kwa mwaka
4.Tanzania - Jakaya Kikwete- US$192,000 kwa mwaka
Wengine ni Kenya- Uhuru Kenyatta US$132,000 kwa mwaka na Uganda Yoweri Museveni US$13,000 kwa mwaka.

Hivyo kwa Utaratibu huo Mshahara wa Rais wa Tanzania (Wakati huo JK) ni US$16,000 kwa mwezi.
sawa na TZS.35,200,000. (1 US$= TZS 2,200).
Tarakimu hizi zinaweza zisiwe halisi lakini zinatupa uhalisia wa aina fulani..
 
Wale jamaa wa Telecom walopelekwa mahakani juzi kwa tuhuma ya kudhulumu 8 billion:CEO kule analipwa hela ngapi? Kwa sababu Obama analipwa hela nyingi lakini hamfikii CEO wa Goldman Sachs.
 
Ndg wanajukwaa;

Katika hali iliyopo Sasa wananchi tumekua tukijiuliza maswali mengi kuhusu kiwango halisi cha mshahara anacholipwa rais wa Tanzania.
Kwa haraka haraka nimepitia nyuzi tofauti kwenye mitandao na kugundua kuwa Rais wa Tzee analipwa kati ya 24 million na 32 million kwa mwezi sawa na dola 192,000 Sawa na 400 millions kwa mwaka

Sources;

Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

Zitto sasa aanika mshahara wa Rais

Sijui kama somo la hesabu lilikuwa chaguo darasani
 
Kwa mujibu wa African Review mwaka 2015, Mishahara ya baadhi ya Marais wa Afrika ni:

1.Cameroun - Paul Biya US$610,000 kwa mwaka.
2.Morocco - King Mohamed VI US$480,000 kwa mwaka
3. South Africa - Jacob Zuma US$272,000 kwa mwaka
4.Tanzania - Jakaya Kikwete- US$192,000 kwa mwaka
Wengine ni Kenya- Uhuru Kenyatta US$132,000 kwa mwaka na Uganda Yoweri Museveni US$13,000 kwa mwaka.

Hivyo kwa Utaratibu huo Mshahara wa Rais wa Tanzania (Wakati huo JK) ni US$16,000 kwa mwezi.
sawa na TZS.35,200,000. (1 US$= TZS 2,200).
Tarakimu hizi zinaweza zisiwe halisi lakini zinatupa uhalisia wa aina fulani..

Uganda Yoweri Museveni US$13,000 kwa mwaka, angekuwwa anang'ang'ani uraisi usio na kikomo
 
ni muhimu wananchi wakajua mshahara wa rais wao.
Safi sana kwa ufafanuzi maana kuna wananchi wengine hawajui haki zao za msingi

Ni kutojua mshahara wa rais wako ni sawa na kuhajiri mfanyakazi wako then anakuambia mshahara wangu utakiwi kuujua......

Sijui kama utakuwa mzima kiakiri
 
Back
Top Bottom