Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?
Unataka ujiunge na jeshi hilo la polisi au ulikusudia nini kuuliza mshahara wa askari polisi ndani ya JF?Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?
Aseme tumpe nondo.inatosha baada ya kupata jibu hilo , tusiendelee kuchimbua maisha ya hawa jamaa
Unataka ujiunge na jeshi hilo la polisi au ulikusudia nini kuuliza mshahara wa askari polisi ndani ya JF?Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?
Unataka ujiunge na jeshi hilo la polisi au ulikusudia nini kuuliza mshahara wa askari polisi ndani ya JF?
Wandugu asanteni kwa majibu yenu.
nillikua na mpango huo wa kwenda lakini nilisitisha.
Wandugu asanteni kwa majibu yenu.
nillikua na mpango huo wa kwenda lakini nilisitisha.
ni around 380,000 hadi 450,000
kwenye majeshi yetu mshahara hawaangalii una degree ama diploma wanachoangalia ni cheo chako tu!kwahiyo kila ngazi ya mshahara inatokana na rank uliyonayo wakati huo!
Wandugu asanteni kwa majibu yenu.
nillikua na mpango huo wa kwenda lakini nilisitisha.
Unataka ujiunge na jeshi hilo la polisi au ulikusudia nini kuuliza mshahara wa askari polisi ndani ya JF?
ni around 380,000 hadi 450,000[/QUOT
Hapana sio ivo ni 743,000 basic pay, net pay inaenda hadi kilo 6 na ushee inategemea uko kwenye mfuko gani wa hifadhi ya jamii, na kuna posho ya katikati ya mwez 180,000, alafu bado ukikaa kaa utapata allowance 3. Msidanganye Watu