Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

We jamaa sijui unafanya kazi sehemu gani ambayo ni vilaza kiasi hicho.

Iko hivi, mshahara unaingia siku moja lakini kuingia kwenye akaunti zetu muda unatofautiana kutegemeana na benki. Hizo ni process za kibenki ndio zinatofautiana.

Kama hujui hilo basi wewe ni kilaza zaidi
Bado saccos
 
Haka kamshahara kwa mwezi huu kalichelewa sana ngoja na mimi nikabembeleze basi
 
JamiiForums477568456.jpg
 
Back
Top Bottom