Mshahara wa mwezi March upo tayari

Ngoja niwai ATM anayo toleaga nikamsubili akitoa anipe changu, maana sio kwa kuzungushwa hivi.
 
Wale ambao mishahara haikutani ndio inawahusu hii.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Wewe utakuwa msaidizi wa Mbowe au mtoto wa Mbowe maana hao rudhuku halali yao, hawajui cha mshahara nikuchota tu.
 
Wapendwa mshahara umetoka nendeni mkachote hela mje mlipe madeni ya maji, na vibanda vya chakula.

Msisahau nauli za watoto kurudi shule maana tar..17 imekaa kushoto.
Hii ya watoto kweli imetuvuruga mno wazazi...bajeti lazima iyumbe kuanzia ya Ving'amuzi na msosi hasa...hili la nauli ya kurudi baada ya hii likizo ya Corona nalo ni janga.....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom