Mshahara wa mwalimu mwenye shahada

mwela

Member
Apr 26, 2011
47
7
Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo cha ualimu huitwa MKUFUNZI na huanza na mshahara wa TGTSE sh.740000= Je, serikali sikivu ya CCM ina2mia vigezo gani kuwalipa waalimu wenye kiwango kimoja cha elimu mishahara tofauti??
 
uhuni tu.mtu umefanya nae kozi moja.ye akienda kufundisha chuo cha ualimu mshahara juu we ukienda sekondari mshahara chini.hakuna logic ni upuuzi tu kwa serikali isiyo makini.
 
Hakuna usawa!! Hv ile bodi ya kushughlikia mishahara ya kila kada wameshakuja na majibu?? Nani mwenye detailz
 
Kuna elimu na madaraka, ndio maana hata waziri na naibu waziri yawezekana wakawa na kiwango sawa cha elimu lakini wasilingane mishahara. kumbuka mkufunzi ana madaraka makubwa kuliko mwalimu.
 
Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo cha ualimu huitwa MKUFUNZI na huanza na mshahara wa TGTSE sh.740000= Je, serikali sikivu ya CCM ina2mia vigezo gani kuwalipa waalimu wenye kiwango kimoja cha elimu mishahara tofauti??
Kwanza inabidi ujue kuwa kuna walimu wa MoEVT na TAMISEMI, pili inabidi ujue kuwa wale walimu wa vyuo wanaanzia na ngazi hiyo ya mshahala kwa sababu wao wanafundisha ujuzi na utendaji ataoenda kufanya mhitimu ( kwa ufupi wachuo wanaandaa "proffesionals") wa kwenda makazini, mfano : mwalimu wa diploma akimaliza anakuwa mwalimu mwenye sifa na ujuzi wake tofauti na mwalimu wa sekondari anayemuandaa mwanafunzi kwa masomo ya kwenda kujiunga na ngazi anayofundisha mwenzake wa chuo. kwa ufupi tu ni hayo.
 
kwa kawaida BED anachukua somo moja, wala hana kazi kubwa chuoni kama huyu wa BA(EDUC) ambae ni manager mzuri sana.
 
Kwanza inabidi ujue kuwa kuna walimu wa MoEVT na TAMISEMI, pili inabidi ujue kuwa wale walimu wa vyuo wanaanzia na ngazi hiyo ya mshahala kwa sababu wao wanafundisha ujuzi na utendaji ataoenda kufanya mhitimu ( kwa ufupi wachuo wanaandaa "proffesionals") wa kwenda makazini, mfano : mwalimu wa diploma akimaliza anakuwa mwalimu mwenye sifa na ujuzi wake tofauti na mwalimu wa sekondari anayemuandaa mwanafunzi kwa masomo ya kwenda kujiunga na ngazi anayofundisha mwenzake wa chuo. kwa ufupi tu ni hayo.

sijakufahamu kabla, lakni nishakujua huna hoja kabisa, unajua maana ya shallow, ndio wewe.

hivi unajua BED EDUC haina lolote? kwa sisi ambao sio walimu lakini tunajua hizi nafasi. BED EDUC-aka mkufunzi, hana wigo, kinachoendelea nchini ni kukosa ufahamu wa kutenda haki. Ndio maana kuna wabunge darasa la saba wanalipwa mili 10,
 
Kunifahamu au kuto nifahamu sio hoja iliyopo hapa , inaonekana hujui maana ya mdahalo. inamaana kwa akili zako zote mtu akishakuwa darasa la saba ndo alipwe kidogo, kwahiyo huyo msomi unayemtaka wewe anaishi peponi au wapii??? think twice mdau, hebu jipange kwanza kwani hoja zako hazina mashiko kama umekurupushwa shimoni. kasome secula ya elimu Tanzania inasemaje, kisha ndo uje jamvini.
 
ok, sijui kila kitu naomba secular hapa, na nieleweshe maana ya debate, na nielekeze jinsi ya kupanga, na nieleweshe prof anapaswa alipweje? then come again
 
then pitia hizi nyuzi upya, unipe jibu

msamehe alijua bado yuko facebook, na ukizingatia ni mgeni JF
 
Back
Top Bottom