Mshahara wa Mkuu wa Idara ya Elimu Wilaya ni kiasi gani?

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Oct 28, 2019
1,044
1,996
Wanajamvi, habari za mahangaiko.

Naomba kuuliza anaejua mshahara wa mkuu wa idara elimu wilaya kwa upande wa secondary anijuze.

Nataka kujua DEO secondary ni kiasi gani cha mshahara anaweka kibindoni, anaejua atueleze wanandugu.

Nina sababu za kutaka kufaham.
 
Kakupora demu(ee Mayebooo...yakuporaaa...)?
Anakunywa bia zaidi yako?
Humpendi tu?
Anajidai?
😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu yoyote wa Idara ndani ya Halmashauri hupokei Mil 3 point something.

Ccm hukata 800K then inabaki Mil 2 point something.

Huu ni mshahara wa Mkuu yoyote ya Idara + DED.

#YNWA
Ccm hukata laki8. Inamanisha tozo payee au kweli vvm wanachukua hio mia8.
Mbona sasa anabaki na hela kidogo kulinganisha na status yake.
 
Wakuu wa Idara wanaposho nyingi za madaraka ambazo hazikatwi.
House allowance
Phone allowance

#YNWA
 
Mkuu yoyote wa Idara ndani ya Halmashauri hupokei Mil 3 point something.

Ccm hukata 800K then inabaki Mil 2 point something.

Huu ni mshahara wa Mkuu yoyote ya Idara + DED.

#YNWA
ila DED anakula kwa mwaka pamoja na posho 30mils piga sasa kwa mwezi plus posho ni shingapi!!! Mpunga wa hawa wakuu wa idara ni nje ya hiyo salary 3.4mils/month.
 
Anahitaji kujua mshahara hakuhitaji kujua posho ya mtu.
Kila mtu halmashauri anaposho yake kulingana na nafasi yake.

#YNWA
 
Ccm hukata laki8. Inamanisha tozo payee au kweli vvm wanachukua hio mia8.
Mbona sasa anabaki na hela kidogo kulinganisha na status yake.
Anabaki na mil 2.8 hivii...
Ila DED na Wakuu wa Idara wanaposho nyingii sanaa na hela za michongo.

#YNWA
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom