Mshahara wa miradi ya RUWASA

Inamaana RUWASA hadi leo wamepiga kimya, tujuzane wakuu hakuna hata mmoja aliepigiwa simu hadi mda huu?
 
Bado ila soon as possible tuweni wavumilivu
Inamaana RUWASA hadi leo wamepiga kimya, tujuzane wakuu hakuna hata mmoja aliepigiwa simu hadi mda huu?
Kabla hujauliza kupigiwa simu au la jiulize hili swali..

Ukiapewa nafasi kwa sasa utalipwa kwa bajeti ipi?

Lazima waandae bajeti ambayo itajumuisha posho za watakao pata nafasi.

Sasa jiongeze maana najua unajua bajeti mpya inaanza mwezi gani..
 
Maswala ya bajeti mpya si mpaka wa sabaa hapo kiongoz
 
Mwaka wa fedha 2021/2022
July
 
Sidhani
 
30%
Kwa wote mafundi,wahasibu na katibu
Mie mpk saa hv sijaelewa , naomba niwekwe sawa kitu kimoja hapa, kuna mdau mmoja alisema kuwa kuna ruwasa na jumuiya za ruwasa, jumuiya ndio hazina ishu kipato chake inategemea na jinsi makusanyo yenu na ndipo itakavyo determine posho zenu, sasa je kwa upande wa RUWASA wenyewe ambao ndio wasimamizi wa jumuiya pale malipo yao yanakuaje per months kwa waajiriwa wa fani za uhandisi, na wengineo
 
Maswala ya bajeti mpya si mpaka wa sabaa hapo kiongoz
Mwaka wa fedha 2021/2022
July
Hayo ni mawazo na inaweza iwe au isiwe... lakini kiuhalisia serikali inafanya kazi kulingana na bajeti!

Nikuache na hili swali..

Wakati wa kampeni magu alitangaza kutoa ajira 12000 kwa walimu (kumbuka muda huo bajeti ilikua ishasomwa na ajira hazikuwepo kwenye bajeti)..

Je kati ya hizo ajira 12000 za walimu alitoa ajira ngapi?

Muwe ma wakati mwema!
 
Wakuu hakuna aliepokea simu yeyote bado kutoka ruwasa..
Alaf Kama Kuna mtu yeyote amepigiwa simu na Total Africa kuhusu nafasi yeyote hivi karibuni anicheki tuyajenge
 
Back
Top Bottom