Mshahara wa Mechanical Technician

Mjuzi Wenu

Member
Nov 18, 2017
49
125
Wakuu ningependa kujua mshahara wa mechanical technician kwa mtu mwenye elimu ya diploma na hii ni kutokana ni interview moja niliyofanya huku wakinilalanikia kuwa nimetaja kiasi kikubwa sana ambacho si kiwango cha mtu mwenye diploma
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,176
2,000
Wakuu ningependa kujua mshahara wa mechanical technician kwa mtu mwenye elimu ya diploma na hii ni kutokana ni interview moja niliyofanya huku wakinilalanikia kuwa nimetaja kiasi kikubwa sana ambacho si kiwango cha mtu mwenye diploma
Kila mtu anajua thamani yake. Wewe unajijua thamani yako kulingana na qualifications zako na uzoefu.

Ukiulizwa unataka kiasi gani taja unachoona ndio thamani yako kwa uzoefu na qualifications zako. Usiogope, kama wakiwa wapo chini mta negotiate.

Kusitasita kutaja na kujiumauma kunakupotezea points maana mwajiri anakuona kabisa hujui thamani yako.

Kwa hao waliosema kuwa umetaja kiasi kikubwa na wewe unaona ndio thamani yako na inaendana na vigezo nilivyotaja hapo juu unaweza ku negotiate kiasi ambacho utaona bado kina maslahi kwako lakini waambie baada ya muda fulani labda six months kuwe na increments kulingana na performance yako.
 
Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,563

Usimpotoshe. Thamani yake inatokana na experience yake! Kama ni entry level basi ajue kwamba hana thamani yeyote.
 
moudgulf

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
107,140
2,000
Kila mtu anajua thamani yake. Wewe unajijua thamani yako kulingana na qualifications zako na uzoefu.

Ukiulizwa unataka kiasi gani taja unachoona ndio thamani yako kwa uzoefu na qualifications zako. Usiogope, kama wakiwa wapo chini mta negotiate.

Kusitasita kutaja na kujiumauma kunakupotezea points maana mwajiri anakuona kabisa hujui thamani yako.

Kwa hao waliosema kuwa umetaja kiasi kikubwa na wewe unaona ndio thamani yako na inaendana na vigezo nilivyotaja hapo juu unaweza ku negotiate kiasi ambacho utaona bado kina maslahi kwako lakini waambie baada ya muda fulani labda six months kuwe na increments kulingana na performance yako.
Ushauri mzuri sana.
Utaratibu wa kupatana mishahara cha kwanza lazima uijue thamani yako wewe binafsi.
 
Mjuzi Wenu

Member
Nov 18, 2017
49
125
huwa nashamlngaa hizi kampuni/ taasisi ambazo wafanyakazi wananabargain mshahara. ina maana kwamba hawana salary schemes au?

hili ni swala ambalo lipo katika sector binafsi na nadhani wanafanya hivyo ili kupunguza gharama kwa baadhi ya wafanyajazi kwa mfano mtu mzoefu kutofautiana mshahara na fresher licha ya kuwa na level sawa ya elimu
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,945
2,000
Kampuni inayobargain mshahara mpaka Sasa ni wanyonyaji tu,ilitakiwa tangazo la KAZI liambatane na offer ya mshahara,Sasa huo wa tukulipeje ni utapeli ndo Mana kwenye kampuni Moja KAZI Moja,elimu Moja mishahara tofauti afu wote tunalazimisha kufikia lengo la kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom