Mshahara wa Luteni wa JWTZ ni sh. ngapi?

  • Thread starter Askari wa miguu
  • Start date

kabingo

kabingo

Senior Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
118
Likes
112
Points
60
kabingo

kabingo

Senior Member
Joined Oct 16, 2015
118 112 60
mshahara tarehe 40
Mtabaki na labda mengine myaache kama yalivyo hamtayaweza, kwataarifa usicho kijua no bora kukaaa kimya, hakuna mfanyakazi wa serikari kuanzia ngazi ya afisa elimu anemzidi mshahara hata angekuwa privet wa jeshi tena huyo hajafanya mafunzo ya leval three kaaeni kimya msione watu wanalalia misumari uwanja wa taifa mkataka kujifananisha nao hao ni habari nyinge, hao ndo wanauwezo wa kusema kada flank ya utumishi walipwe hivi na rais akakubali. Kaa mbali na hao jamaa kabisa gombanieni hizo laki 3 zenu wao ni hela ya kulipia umeme.
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,287
Likes
1,809
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,287 1,809 280
Laki 6 my foot!

Watu wanaongea tu ilimradi wameongea
 
MOI JOHN

MOI JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
1,749
Likes
959
Points
280
MOI JOHN

MOI JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
1,749 959 280
Kibongobongo anakula mema ya nchi uki compare na wafanyakazi wengine wa kawaida wa serikali. salary 650(take home), ration allowance 200, professional allowance 15% of the salary i.e 120, nyumba bure ila kama anaishi off barracks anapewa ela ya pango. Hapo kumbuka halipii umeme wala maji na bei za bidhaa makambini nadhani mnazijua/mlishawahi kuzisikia(TAX FREE) karibu sawa na nusu ya bei uraiani. Hapo vipi?
Umeme na maji wanakatwa kwenye mishahara yao.
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,287
Likes
1,809
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,287 1,809 280

Uongo huo

Luteni ni commissioned officer ambae kuenda tu mafunzo ya Uafisa lazima uwe na Degree ambayo kwa hesabu za jumla jumla ina maana Luteni ana degree+training&expertise ya uaskari+training&expertise ya ukamanda sasa mtumishi wa umma mwenye degree tu anachukua zaidi ya laki saba ndio uone watu wanavyolishana maneno ya vijiweni humu
 

Forum statistics

Threads 1,262,368
Members 485,562
Posts 30,121,318