Usalama wa nchi kwa mishahara wewe? wewe unaona mishara ndiyo usalama sana wakati Obama akija mnakabidhi mpaka ikulu, mawaziri wenu wanapigwa sachi mpaka wanavua makoti, MSHAHARA KITU GANI!...wewe unafikiri hayo mataifa uliyoyataja wakitaka kujua mshahara wa mtu yeyote hapa Tanzania inachukua dakika ngapi, kuna vitu ambavyo hauwezi kuficha, hiyo mishahara inaita kwenye benki gani? Unajua inachukua muda gani kuzama kwenye system ya benki yoyote hapa Tanzania na kupata info unazotaka? Mishahara haina maana yoyote ya kuwa classified kiusalama, ni mambo ya kijamii tu!