Mshahara wa Luteni wa JWTZ ni sh. ngapi?

  • Thread starter Askari wa miguu
  • Start date

N

Naitwa Nani

Member
Joined
Dec 18, 2011
Messages
30
Likes
0
Points
0
N

Naitwa Nani

Member
Joined Dec 18, 2011
30 0 0
Kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kwamba kwa Officer wa jeshi mwenye cheo cha Luteni salary inaweza kufika hadi Million 2 kozi ukiondoa basic salary wana fringe benefit nyingi kama
-Housing allowance
-Ration allowance
-Utility allowance (Water & Electricity)
-Professional allowance

Naomba niwakilishe mkuu, mimi sio askari wala sio afisa wa Jeshi ila nina jamaa wangu wa karibu sana na nina mwamini. kwa hiyo ndio hivyo mkuu, polee kwa kupata majibu ya kukwazika kutoka kwa wadau wengine...!!
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,560
Likes
29
Points
145
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,560 29 145
aisee babayangu mi najua wa servece man wa jesh ni 5000 kwa mwezi
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
10,538
Likes
6,863
Points
280
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
10,538 6,863 280
Baada ya kuburuzwa vizur miezi isiopungua tisa afisa wa jeshi anaanza na mshahara mzuri kabisa wa shilingi laki moja na elfu kumi na tatu+hela ya chakula shilingi mia tisa na hamsini kwa siku.

Chanzo mi mwenyewe baada ya kuiba salary sleep ya dada kuisoma na kuondoka.na kisha kuja kushtuka kuwa sikuwa na uhakika kama nimeongeza sifuri au nimepunguza.huku nikiwa safarini kurudi home baada ya kutoka kwake kumsalimia.
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
650,000 kwa maofisa waliohitim pale tma monduli...ila kuna hawa luteni usu(nyota moja) wao wanachukua 520,000/= jiunge ule raha za nchi
Kumbe Hata Muuza Chips Tu Mwenge au Kimara Na Kwingineko Anahela Kuliko Huyo Luteni Kwani Kwa Siku Muuza Kiepe Anapata Faida Ya Chini Tsh 40,000 Na Cha Juu Huwa Ni Tsh 75,000. Ambapo Kwa Wiki Anapata Tsh 240,000 au Tsh 450,000. Bora Niuze Zangu KIEPE Tu UJEDANI Michosho!
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
yan kwa mshahara huo ndo mtu ale raha za nchi?yani wanajeshi wa tanzania mnaridhka na vitu vidogo,au sababu wengi wenu mlikimbia shule?
Sema Sema Mkuu.............UMENIFURAHISHA Mno Kwani UKWELI Ndiyo HUO. Siongezi WALA Sipunguzi. Wengi Wao SHULE Ni TATIZO Na Wakijuacho Ni KUTUMIA Miguvu Tu Na Kutaka Sifa HALAFU Hii Mijamaa Ni MISHAMBA Hadi IMEPITILIZA! Nakaa JIRANI Na Mmoja WAO Yaaaaaaani POPOMA Hakuna Mfano Na Ana Cheo Cha Koplo Sasa Cha KUCHEKESHA Nyumba Anayopanga HAINA Umeme Lakini Kanunua Gari IST a.k.a BAJAJ Kwa Vipesa Vyake Alivyovipata Kutoka Sudan Na Anapelekeshwa Mno Na Mke Wake Lakini Mkiwa Nae Mtaani ANAVYOJITUTUMUA Utadhani Ni Bonge La MJANJA Wakati Kumbe Ni Bonge La MBWIGA.
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
Nenda pale lugalo ulizia getini swali hilo utapewa majibu yoote unayotaka jamaa wana wingi wa fadhila!
Na Ahakikishe Ameshaaga Kwao, Ndugu, Jamaa Na Marafiki BILA Kusahau Kuwaelekeza WAKAMZIKE Wapi!
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
Wasikukatishe tamaa bwana. Halafu daladala utakuwa unapanda bure. Kuna nini tena mpwa wangu!!! Pereka maombi yako ya application (tamka apirikesheni) bana.
Na KUGEGEDEWA Pia Ni Kama Kawaida Haswa Ukiwa UNAKWENDA Kozi au ktk Missions Abroad. Yataka Moyo Na Imani Huko!
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
Acha kudharau degree ya Education wewe...watu tunayo hiyo hiyo na tunagonga 1.2m per month..
Acha Uongo! Msingekuwa Mnagoma Na Kukimbia Kimbia Hovyo Mtaani Huku Mkiganga Njaa Na Kuishi Kwa KUKOPA Tu.
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
MAJANGAA!!!! Wanajeshi wa siku hizi wamesoma but they are very POOR in intelligence analysis, they dont know which information is classified, na kama wanajua basi ni hatari. Kwa hiyo taarifa yako tu mimi wa kawaida nimepata faida kubwa kujua niliyokuwa natamani kuyajua. Nadhani unapokutana na swali kabla ya kujibu JIULIZE WHY and WHAT( IMPACT). Ipo siku mtaulizwa aina ya silaha mlizo nazo halafu UTATIRIRIKA KUANDIKA HADI MAHALI MNAPOTUNZA FUNGUO ZA STORE ZA SILAHA ZENU. Nikiwa O Level nimeishi na Auncle wangu Mjeda lakini alikuwa makini sana kutoa siri za kazini kwake, kila tulipomuuliza isue yeye alikuwa anatupiga mkwala akisema MMETUMWA EEE! Alikuwa anatupa story nyingine tu hasa za vita vya uganda, lakini mambo yao ya ndani NO. Jamani au TISS siku hizi haipo Jeshini?!!!!? . Nadhani haya ni matokeo yakuulizia Mshahara kwanza kabla yakujiunga na Jeshi.
Niliposema Hawa Majamaa Ni Mapopoma Na IQ Zao Ni Ndogo Nadhani Kwa ULICHOKIANDIKA Umenijibia Mkuu, Heko Sana.
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,544
Likes
15,535
Points
280
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,544 15,535 280
naona mfuasi wa kagame kaamua kuja kuliponda JWTZ.
 
kisumapai

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
521
Likes
79
Points
45
kisumapai

kisumapai

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
521 79 45
Usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza endelea kudanganyana uko vijiweni
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
Baba,nipo chomboni na nitadumu chomboni,mie cheo changu ni trained private,ninalipwa tsh.985,000/=,msos bure,maj bure,umeme bure,kusafir bure,nyumba bure,nguo bure,viatu bure.,karibu chombon mkuu.
Kama Wewe Ni Private Na Unalipwa Hivyo Basi Mimi GENTAMYCINE Nalipwa Tsh 100,000,00 /=. Wanajeshi Mnapenda Sana Na Mno UWONGO na MISIFA! Hebu Badilikeni Basi. Mbona Wakati Babu Yangu ( Mzee Bugozi ) Alipokuwa Mkuu Wenu CDF Askari Wa Kipindi Hicho Ambao Mimi Ndiyo Nawaita Wapiganaji Wa Ukweli Na Mashujaa HAWAKUWA Kama Nyie Wa Sasa? Tabia Zenu Hizi Za KIPOPOMA Mmezitoa Wapi? HAKUNA Nisilolijua La Humo TPDF Kwenu Kwani Nimekulia Jeshini ktk Mazingira Na Maisha Hayo Kwa Malezi Niliyopewa Na Babu Yangu Huyo Na NINAWAHESHIMU, KUWAKUMBUKA na NAWAPENDA Mno Hao MAAFANDE Wa Zamani Walionilea Kipindi Hicho Ambao Wengi Wao Sasa Ni Wastaafu Na Wengineo Wamekwishaenda MBELE Za Haki. Thamani Ya Jeshi Letu Imeshuka Kuanzia Mwaka 2005 Hadi Sasa. Badilikeni Tafadhali!
 
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,289
Likes
40,324
Points
280
G

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,289 40,324 280
rafiki yangu ni luteni si ndio nyota mbili take home ni 920,00000/=
Unapoingia Humu JF HAKIKISHA Pia Moshi Wa Bange/Bangi UMEKUTOKA ktk Mbichwa Wako Sawa?
 

Forum statistics

Threads 1,262,348
Members 485,558
Posts 30,120,860