Mshahara wa Luteni wa JWTZ ni sh. ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa Luteni wa JWTZ ni sh. ngapi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Askari wa miguu, Feb 2, 2012.

 1. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu kwa yeyote anaefahamu mshahara wa lieutenant wa JWTZ aliyemaliza mafunzo recently ni sh.ngapi?

  Je kuna mambo ya makato jeshini kama kwny idara nyngine za serikali, na kama yapo basi take home ni sh. ngapi?

  Kwa anyefahamu please share with us.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hakuna anayejua...... mambo ya jeshi ni siri!! but, about 80% of national tax collection are spent in defence.............
   
 3. M

  Madodi Senior Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  650,000 kwa maofisa waliohitim pale tma monduli...ila kuna hawa luteni usu(nyota moja) wao wanachukua 520,000/= jiunge ule raha za nchi
   
 4. Z

  ZeTicha Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia kuna ratio allowance, house allowance and proffesional allowance, mi nasikia ivo coz wanasema
  "salary z an open secret"
   
 5. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Kweli watu tunatofautiana! Raha ya nchi kwa laki sita ambazo nazipata kwa kazi nisiyokuwa na uhuru! kazi ya amri, kaazi kwelikweli...
   
 6. M

  Madodi Senior Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hapo exclude posho
   
 7. M

  Madodi Senior Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  sasa km mtu ana bachelor ya Education, shule za serikalini anapewa sh. 450,000. Si bora akavae zake gwanda
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  bora nkawe ticha,ntafanya na mishe zangu nyngne kuliko huko jwtz wanakubana afu mshahara ndo huo.
   
 9. M

  Madodi Senior Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  mshahara tarehe 40
   
 10. M

  Madodi Senior Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  mshahara tarehe 40
   
 11. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Mshahara wowote ule unapewa!kwani wewe unataka Tshs ngapi?
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nenda pale lugalo ulizia getini swali hilo utapewa majibu yoote unayotaka jamaa wana wingi wa fadhila!
   
 13. S

  Suby Mushi. Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ndo waukwel sas, ..
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wewe Golira aka Askari wa miguu haufai kabisa jeshini fanya kazi ufike level za General acha kuulizia mishahara acha ujinga wewe kaza buti monduli si ndio mnataka kwenda hiv karibuni.
   
 15. A

  ANTA Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nadhani iwe mwisho kuulizana mishahara ya watu. kazi huna, unaulizia mshahara. unataka ukaroge wewe.
   
 16. cucoz jr

  cucoz jr Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukikusanya kila k2 inafika 900
   
 17. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Come ON! gradute wa bongo wanatia huruma,mtu anawaza kulipwa mshahara tu,plz plan to initiate your own business using the available competitive advantages,wewe ndo uajiri hao ambao hawajapiga umande! Nani alikudanganya kuna mshahara wa kutosha? Utakuta mtu amefikisha miaka 45 bado anawaza kupata kampuni inayolipa vizuri apewe na usafiri !
   
 18. heynest35

  heynest35 New Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kibongobongo anakula mema ya nchi uki compare na wafanyakazi wengine wa kawaida wa serikali. salary 650(take home), ration allowance 200, professional allowance 15% of the salary i.e 120, nyumba bure ila kama anaishi off barracks anapewa ela ya pango. Hapo kumbuka halipii umeme wala maji na bei za bidhaa makambini nadhani mnazijua/mlishawahi kuzisikia(TAX FREE) karibu sawa na nusu ya bei uraiani. Hapo vipi?
   
 19. kievhap

  kievhap Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilivyosikia mimi from an inside man ni hivi: Jamaa ana degree ya sheria (LLB), ametoka monduli November 2011, cheo alichoanza nacho ni Luteni na salary aliyoanza nayo ni 1.5 milioni (madafu).

  We have two types of Lutenis pale JWTZ: Kuna wale waliosota miaka kupata hicho cheo (usually) non-professionals, then kuna wale waliochagua kutafuta professional qualifications prior to enlisting a.k.a professionals waliokosa ajira in the real world.

  So I would think that its only fair kumlipa luteni (professional) more than luteni (non-professional).
   
 20. a

  admirable Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  si kweli kabisa 1.5M is 4 senior officers.....am one of them,,,graduate too
   
Loading...