Mshahara wa kuanzia mtu mwenye degree jeshi la polisi

Ua mistaken mr.
Mshahara wa kuanzia mtu wa degree polisi ni kama sh 20000 hivi,kwani utaanza na cheo cha Constebo na waweza kukaa nacho hadi mwaka kabla ya kufikiriwa kwenda kozi ya nyota,kwenda nyota sio automatic hivyo we take kuwa mshahara wa kuanzia ni ule wa constable pamoja na posho ya laki na nusu.Ukimaliza nyota if you are luck after atleast two years of joining the force then mshahara unapanda na kuwa wa Assistant Inspector ambao ni kama 35000 hivi if I am not mistaken.
 
JAMANI HAMNA WATU WNAO JUA HILI LA MSHAHARA WA KUANZIA MTU MWENYE DEGREE JESHI LA POLISI? by mpigamsuli
 
Jamani tusidanganyane yani polisi asiye na cheo (520,000) mmh hapna manake mwanajesh asiye na cheo atakuwa kazidiwa na jwtz ndio jesh lenye maslah mazur tafuteni data vizur
 
Polisi uniform yake tu ile akivaa ameshapata zaidi ya elfu hamsini kwa siku,mshahara wake hata haumuumizi kichwa.Hii nchi bana we acha tu.
 
Mshahara wa wafanyakazi wanaofanya wizara ya mambo ya ndani mwenye digrii unafanana tsh 860,0000 +posho ya msosi 300000+Posho ya Pombe +100000 +posho + posho ya pango la nyumba. Kwa ufupi ukiwa na kadigirii pesa yako kwa mwezi Tsh 1,300,000/=. Ukipata mchongo nitonye pm maana nimegundua mkwanja upoehuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom