Mshahara wa July 2019 vipi?

Wakati mwingine watumishi mnakaribisha wenyewe kudhalaurika hasa hizi nyuzi za kila mwezi kuulizia mshahara, hivi si mkae kimya mpaka muone kitu kwenye akaunti zenu, yaani mmekuwa watumwa wakusubiria mshahara mwisho wa mwezi.

Acheni kutudhalilisha na hivi vinyuzi vyenu uchwara, nyie ndio mnafanya watumishi waonekane wamepigika.
 
Wamekusikia mkuu
 
Kila mtu kujiajiri inawekana kwenye society ya ujima tu. Kila mtu na kishamba akizalisha chakutosha kwa yeye na familia yake. The moment unaanza kuajiri mwingine ili kukidhi mahitaji ya nguvukazi, basi maana yake ni kwamba haiwezekani kila mtu akajiajiri.
Hivi hujiulizi kwa mfano, kama kila mtu atamiliki daladala, nani atakuwa dereva na konda?
Kama kila dada atakuwa mama lishe, nani atakuwa msaidizi wa mwenzie?
Society lazima iwe na waajiriwa wengi.
Real point....Mkuu
 
Mkuu wapotezee tu kama haikuhusu. Binafsi naona ni haki yao kuongelea ujira wao baada ya kazi hata wakiwa wanaanzisha threads kila siku.

Kama haikuhusu pita kimya tu sio kila thread ni lazima ushiriki.

Ni ushauri tu usijenge chuki
Wakati mwingine watumishi mnakaribisha wenyewe kudhalaurika hasa hizi nyuzi za kila mwezi kuulizia mshahara, hivi si mkae kimya mpaka muone kitu kwenye akaunti zenu, yaani mmekuwa watumwa wakusubiria mshahara mwisho wa mwezi.

Acheni kutudhalilisha na hivi vinyuzi vyenu uchwara, nyie ndio mnafanya watumishi waonekane wamepigika.
 
Ulichoandika unaweza kukisoma wewe mwenyewe...Ningekua najua unapofanyia kazi wewe japokua inaonekana ni serikalini ulitakiwa urudi shule ukasome namna ya kuandika japo ATM tu basi.
 
Mkuu wapotezee tu kama haikuhusu. Binafsi naona ni haki yao kuongelea ujira wao baada ya kazi hata wakiwa wanaanzisha threads kila siku.

Kama haikuhusu pita kimya tu sio kila thread ni lazima ushiriki.

Ni ushauri tu usijenge chuki
Well said.
 
Ulichoandika unaweza kukisoma wewe mwenyewe...Ningekua najua unapofanyia kazi wewe japokua inaonekana ni serikalini ulitakiwa urudi shule ukasome namna ya kuandika japo ATM tu basi.
Wewe mwenyewe umeandika vishazi. Kwa mwandiko wako hata darasa la saba sidhani kama umemaliza
 
Back
Top Bottom