Hellow members wa jukwaa letu pedwa la NAFASI ZA KAZI NA TENDA,
Napenda kuwasalimu wote, kwa heshima na taadhima najitokeza katika hili jukwaa kuuliza swali hili Je mshahara wa I.T yaani information technology kwa ngazi ya Degree serikalini kwa anayeanza wanalipa kiasi gani??
I.T ni pana but nahitaji kujua mshahara generally kwa anayeanza.
***MUHIMU***
1. Naomba mwenye ujuzi yakinifu ndio anijibu.
2. Ni vyema kujikita kwenye mada zaidi.. i.e nitajie no. ya mshahara..sio kuanza kuzua mada nyingine hapo.