Mshahara wa dhambi ni mauti: JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa dhambi ni mauti: JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchekechoni, Feb 12, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi mnavyozidi kugubikwa na dhambi ya uongo mkuu ambao unalenga kuliangamiza taifa letu, basi mkae mkijua ya kuwa hamchezi mbali na malipo ya dhambi hiyo, na mauti yakiwafika ghafla umma wa Tanzania hautalaumiwa. Mshahara wa dhambi ni MAUTI; JK, PINDA, RA, NGELEJA, mko tayari kupokea mshahara wa dhambi mnayotutendea watz?
   
 2. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawako tayari hata kwa KUTOA MACHOZI HADHARANI
   
 3. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kilio....kilio....kilio, hivi kweli hata kama watalia sana, kuna mtu atawaamini tena hawa wasaliti wa taifa hili, cjui niseme ni kizazi cha nyoka?
   
Loading...