Mshahara wa dhambi mauti mshahara wa taamaa ajali!!soma ucheke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa dhambi mauti mshahara wa taamaa ajali!!soma ucheke

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BASIASI, Sep 1, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  WAPENDWA NITAKUWA SITOWATENDEA HAKI KUKAA KIMYA KWA KUONA YALIOTOKEA JAANA NJIA YA LUGALO KUELEKEQ MBEZI BEACH..ILIKUWA MIDA YA SAA NNE NA NUSU NAREJEA KUTOKA MIHANGAIKO YA DUNIA UKITOKEA MWENGE KUNA KANJIA WAMEKAPINDISHA KIDOOGO KULIA THEN UNAITAFUTA LUGALO..TUKIWA TUMEKARIBIA KUNA GARI IKAWA IMEPAKI NJIANI KABISA AIJAWASHA TAA ZA HAZARD WALA KUKANYAGA BREAK WATU WAJUE NI KIMEO...
  TUKIWA TUNAIKARIBIA KUNA GARI MOJA IKANIOVERTAKE BAHATI MBAYA MBELE KUKAWA NA GARI IKABIDI ANICHOMEKEE ALIPOCHEMEKA HAMAD AKAKUTANA NA HIYO CHESER IMEPAKI AKAIPIGA GAFLA JAMA AKAWASHA NA GARI NA KUWASHA HAZARD AKAKUNJA KULIA AKAPAKI ...ALIPOPAKI HII NI KWA NYIE MNAOCHUKUA MIZIGO ISIYO NA ADABU KUMBE NDANI ALIKUWA NA ZIGO LIMEHESHEHENI USINIULIZE ZAIDI....ALIPOPAKI MWANAMKE AKASHUKA GAFULA AKAKAANZA KIMBIA KUTAFUTA DALADALA JAMAA ANAMWITA WALA HAMSIKII...BAADAE JAMAA ALIEMGONGA AKAENDA KUPAKI KWA MBELE

  PENGINE NISINGEKUWA MSTAARABU NAMI NIKAPAKI KWA MBELE KUJUA UMBEA NINI KIMENDELEA JAMAA AKAANZA KUTOA MACHOZI YULE ALIEGONGWA ANADAI GARI YA MJOMBA WAKE SIJUII ATASEMAJE ..TULIPOMUULIZA NA LILE ZIGO LILOKIMBIA AKADAI KALITOA AFRIKASANA NIKAMWAMBIA MMHH HUKU UNALIPELEKA HME AMA AKADAI DEMU KAMUULIZA AANAIDHI WAPI AKAJIBU TANKIZIMA DEMU AKADAI KUMBE JIRAN NA MIE NAISHI AFRIKASANA HAAHAA NILIIPENDA HII MWISHO JAMAA ALIEMGONGA AKAMWAMBIA CHUKUA HAMSINI KAREKEBISHE AMA ITA TRAFFICK...KIJana kumbe hata LESENI HANA AKAISHIA KULIA KWENYE GARI NA HAMSINI YAKE

  ATURUHUISIWI KUCHEKA KWENYE AJALI LAKINI MMHHH JAMANI HATA KAMA MIZIGO INAWAPA DENDA ANGALIEN WAPI PA KUPIGA ELSE PAKINI PEMBENI NA SI KUPAKI KWENYE BARA BARA ALAFU MNAMSINGIZIA SHETANI AMEWAGONGA
   
 2. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hata hakuna kicheko apo!
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...TUmekusikia Mkuu. Poleni Nyote.
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwani kuna ulazima shuruti na wewe ucheke ? Kama wewe huchacheka mi nipepasuka mbavu kwa cheko! Sindwa kusangaa!
   
Loading...