waakuu naomba kuuliza hivi mshahara wa Computer System Analyst pale BOT (bank kuu) ni bei gani hasa? maana nisije nikaacha huku nilipo kwa kushobokea jina tu kumbe hakuna kitu. Naomba kuwakilisha.
4.5m take home
ukalipwa take home laki 6 lakini marupurupu ni mara mbili ya mshahara.
inawezekananje ukafikiria kuacha huko uliko bila hata ya kupewa mkataba na hao BOT ambao una kiasi cha mshahara ndani yake? hebu fanya subira ukishapewa offer ndio uhamue mwenyewe na pia kazi si mshahara peke yake kuna vitu vingi inatakiwa uvitilie maanani kama benefits, nafasi za kusoma, carrier development, fursa za kujifunza vitu vipya, matibabu, assurance ya kazi, marupurupu, posho n.k