Mshahara wa Computer System Analyst pale BOT

Manyema

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
642
1,628
waakuu naomba kuuliza hivi mshahara wa Computer System Analyst pale BOT (bank kuu) ni bei gani hasa? maana nisije nikaacha huku nilipo kwa kushobokea jina tu kumbe hakuna kitu. Naomba kuwakilisha.
 
Inategemeana na uzoefu wako, lakini hautapungua laki nane kwa mwezi, take home
 
inawezekananje ukafikiria kuacha huko uliko bila hata ya kupewa mkataba na hao BOT ambao una kiasi cha mshahara ndani yake? hebu fanya subira ukishapewa offer ndio uhamue mwenyewe na pia kazi si mshahara peke yake kuna vitu vingi inatakiwa uvitilie maanani kama benefits, nafasi za kusoma, carrier development, fursa za kujifunza vitu vipya, matibabu, assurance ya kazi, marupurupu, posho n.k
 
mkuu funzadume hapo umeongea wacha nisubiri offer letter yao kwanza...
 
Entry point mshahara ni 1.2M gross,ila kuna marupurupu na pia nafasi ya kukopa mkopo usio na riba si chini ya 30M,so mzee unaweza jenga mwaka wa kwanza kazini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom