Mshahara wa Assistant Lecturer..

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
Habari zenu wakuu wangu! Eti, hivi salary ya Assistant lecturer huwa ni sh.Ngapi? Je,huwa kuna utofauti kwa private universities vs public universities kwa hiyo salary? And what about other fringes? Asanteni wakuu..
 
embu cheki kwanza post zilizopita.put za ta hapahapa jf.kunawaloidiskasi vizuri kipindi cha nyuma,kabla wataalam hawajaja kudadavua.kama vipi tumia google "put 12-13" ukiandika hiyo ukiona ya jamii forum fungua
 
shukrani sana VS!
 
Kwa maana hiyo kuna kua hakuna tofaut yeyote kwa mwalimu wa public na private in terms of salary?
 
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.
 
Ni halali yao wakihoji iweje mbunge alipwe vizuri kuliko wao
 
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.

thus y they jump into politics....!!!
 
Kumbe nao wana maisha magumu?ndo maana bac wanakuaga busy na kazi za consultancy,othrwise hawana tofauti na maafande.
 
acha dharau wewe maafande ndo watu duni? Watu wamesomeshwa na leo ni watu wakubwa kutokana na hao maafande fikiri kabla ya kutapika maneno yako yana stinky
 
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.

asante mkuu! Daaah!
 
hivi kumbe TA hawana marupurupu mengi eh?kusahisha mitiani je?(ya certficate).kusimamia mitiani hawapewagi visenti kweli?na house allowance je,ivi wanapewaga?
 
Hakuna allowance ya kusahihisha wala kusimamia mitihani hizo ni part and parcel of your work.House allowance wanayepata ni kuanzia ngazi ya senior lecturer kwenda juu nayo mpaka uandamane kunakohusika.
 
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.

Asante kwa taarifa mkubwa.
OTIS.
 
Figure halis ya TA please, mana nimepata chuo flan na wakati huo nina admission ya M.A. nafikiria kufanya kaz kwanza! ushauri please!
 
nenda kasome kwanza umri na muda huwa havisubiri mtu especially kama umepata scholarship, shule kwanza pesa baadaye!
 
They are right to jump from to politics!!!!!!!!!!!!!!
Sababu, I see even a full Prof. hafikii salary ya an MP!
 
kumbe ni halali kwa Wasomi wengi kuingia katika siasa, kwani sitegemei mtu mwenye elimu kiasi hicho akapata malipo kidogo sana kulinganisha na wanasiasa! ni halali yao kwani wanafuata masilahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom