Mshahara wa aliyesoma Food science and technology ni kiasi gani?

Bila shaka upo mwaka wa kwanza au Mwisho,anyway huku mtaani hakuko hivo hali ni mbaya Mshahara kwa serikali tu ndo iko fixed yaani ina scale maarumu kutegemea na Taasisi husika ila Private uzoefu wako na negotiate skills yako au mda mwingine unapangiwa tu.
 
Back
Top Bottom