Mshahara wa 2.3M take home ni shilingi ngapi?

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Kama mtu anadaiwa Loan board ,TRA makato, NSSF. Makato kutokea sehwmu hizo tatu tu take home itakua ni shilingi ngapi?
 
kama hadaiwi na loan board.. ukitaka kujua net kiurahisi.. ni chukua gross salary zidisha mara 0.71 utapata net salary kiurahisi...

hii ni wale wa private sector ambao hawakatwi bima ya afya. .na upuuzi wa mwenge sijui
 
Take home ni 1,228,100 makato ni 1,078,000 ambayo ni 503,100 Pay as you earn 345,000 HESLB na 230,000 NSSF
 
Back
Top Bottom