Mshahara umeshatoka wanaodai na kudaiwa njooni hapa

Walipe kodi zetu sisi tuhangaishwa na serikali kulipa kodi ili wao wasome tena wenyewe kwa mbwembwe kabisa na hasira walikuwa wanagoma na kuandamana kuishinikiza bodi iwape mikopo sasa basi ni zamu ya serikali kuchukua pesa zake mnataka msilipe mikopo ili bodi ishindwe kujiendesha baadae mje tena hapa kuikashifu serikali kuwa imeshindwa kutoa mikopo lipeni tena wangekata 30% ili muwahi kumaliza deni la kodi zetu
 
88bcd5612da888bfb14690642c1901b9.jpg
 
Back
Top Bottom