Mshahara na pesa za kujikimu ajira mpya za walimu 2017

Ngoja nitafute shule unayofundisha kwenye orodha ya walimu wapya, nitajua umepangwa wapi, hufanyi kazi kutwa kulalamika.
Hahahahhahahaha wala hata mie sio wa hizo ajira mpya ila tu nawaonea imani sana hawa ndugu maisha ya kujitegemea then no mshahara yanatesa sana mkuu
 
Back
Top Bottom