Msenya ni watu wa kabila gani?

Dah we jamaa umeharibu uzi wangu, ivi Kwann kama hauna Jibu sahihi usikae kimya tu

Kwani ni lazima kila uzi comment...?

Mnakera Sana jamani

JF expert need to clear this mess, JF imekuwa kama jalala, hakuna tena ma great thinkers,

Ningeshauri JF ianzishe utaratibu wa kutoza fedha kwa kila comment na thread mtu atakayo fungua.

Kila comment waweke walau mia tano, na kila uzi mtu anaofungua achajiwe elfu moja

Labda huu upupu Unaweza kupungua na kuirudisha JF kwenye hadhi yake
Mapopoma ndiyo wamejaa JF Mkuu, na ndio wenye hela, kwahiyo haitasaidia kitu.
 
Mapopoma ndiyo wamejaa JF Mkuu, na ndio wenye hela, kwahiyo haitasaidia kitu.
Halafu ww si ndie yule unaeombaomba kule Kwenye uzi wako sijui Unajifanya Unaweza kufanya Kazi zaidi ya ya wasomi

Ivi unajua wana JF wanakuchora tu hapa, kwanza nikujulishe tu wanaJF huwa sio wakurupukaji, yaani ulete shida zako sijui Unataka Ajira Halafu unakuwa na majibu ya hovyo hovyo hakuna atakae kusaidia

Utaishia hivyo hivyo, so take care Mzee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom