Msemo wa ‘Kama nini’ maana yake ni nini?

Bedui la bongo

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
297
305
Kuna msemo mmoja ambao watu wameuzoea sana utasikia jamaa anamguu mkubwa kama nini au anapiga kelele kama nini au mshkaji anaongea kama nini, anakula kama nini

Sasa naomba wakuu kujua hilo neno kama nini lina maana ya nini mana sielewi kama nini
 
We mwenyewe umetumia "nini" kwenye swali lako ,Basi na sisi tukuulize hiyo nini ulikuwa unamaanisha nini
 
KAMA NINI..... ni neno lililozoeleka katika jamii ya kitanzania likitumia kutilia mkazo

mfano ; jamaa anampenda yule demu kama nini

maana yake jamaa anampenda sana huyo demu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom