Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Haya mzee...
I guess hapa nilitakiwa niandike hivi...""Nina beza watu wanaoutumia msemo huu kwa kubweteka kwamba......"
Got you, but that is bsides the thread.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mzee...
I guess hapa nilitakiwa niandike hivi...""Nina beza watu wanaoutumia msemo huu kwa kubweteka kwamba......"
There is no doubt "everything happens for a reason".
Na mimi msemo huo nauchukia na ninaukataa milele.
Ndege ya JWTZ iliyoua watu leo ime happen for a reason? Ili iweje?
Ndo hayo mambo ya "mapenzi ya Mungu" ?
Anyway, msemo ninaouchukia mimi ni "Doctor Watson was right."
Na mimi msemo huo nauchukia na ninaukataa milele.
Ndege ya JWTZ iliyoua watu leo ime happen for a reason? Ili iweje?
Ndo hayo mambo ya "mapenzi ya Mungu" ?
One; Things happen for a cause of some sort.There is no doubt "everything happens for a reason".
Two; Like it, Hate it, Deny it or Avoiding taking charge of your actions, better yet, Ku-Beza (whatever the hell that means), "What Goes Around, comes Around", is a comeback, and that is a Fact My Friend!
How you handle the comeback, how you look at it, and/or deal with the consequences, is totally one's choice, but does not change fact that, sooner or later, the "comes around" it's going to catch up with you!
Wengi wetu utumia msemo "what goes around comes around" kama laana kwa mtu aliyekukosea. Ni kama vile tuna wish ardhi ipasuke na kummeza huyo mtu. In short, wengi utumia huu msemo katika hali ya kutaka kumtisha yule aliyekukosea..
Kuchukia is one thing, denying fact is another.
Ndege imeanguka, could be anything, so far ninafikiri ni mechanical fault, sina hakika nitasubiri report. At any rate, that would justify the "reason of some sort".
Hiyo ni perfect usage.Mtu akikufanyia mabaya ukasema "What goes around comes around" ni sawa.Maana yake what you do to others will be done to you, karma if you like, every action has an equal and opposite reaction if you like etc etc.
Ndege imeanguka, could be anything, so far ninafikiri ni mechanical fault, sina hakika nitasubiri report.
Kisura,
Msemo wa "everything happens for a reason" nadhani huuelewi.
Hauongelei sababu iliyopelekea kutokea kwa tukio, (kwa mfano ubovu wa injini umesababisha kuanguka kwa ndege). Isipokuwa inaongelea kitu kitakachokuja kutokea mbele kutokana na kuanguka kwa ndege. Na mara nyingi inamaanisha kuna zuri zitakalo tokea kutokana na hili tukio ambalo kwa sasa ni baya.
Kwa mfano mtu anaweza kusema, kuanzia sasa nchi itakuwa makini kutonunua ndege za Vithlani na Serikali itahakikisha inainua viwango vya usalama vya vyombo vya usafirishaji. Kwa hiyo watu wataacha kufa kwenye ajali za zinazo zuilika, iwe angani, majini na barabarani. Yani, kuna benefit ya tukio lolote hata kama ni baya.
Hiyo ndio maana ya "everything happens for a reason," nadharia ambayo sikubaliani nayo kwa sababu unaweza kujaribu kuitumia kuhalalisha tukio lolote duniani, ikiwemo uzembe!
Anyway, watu wengi u-fall for that saying....
Not me! Hata siku moja sitajakaa na kuwaza kwamba series of misfortunes zinazonitokea sasa hivi zinasababishwa na ukosefu niliomfanyia xyz mwaka jana. To me, downs (kama ups) ni sehemu ya maisha, na sio "laana" aliyonirushia xyz wakati nimemkosea siku za nyuma.
Kwa hiyo, when I hear people say "what goes around comes around" to me (not that I face the saying a lot...lol), I just laugh my butt off....coz I ain't tripping for it!!!
How you handle the comeback, how you look at it, and/or deal with the consequences, is totally ones choice, but does not change fact that, sooner or later, the "comes around" its going to catch up with you!
Ndio maana nikasema:
Fact is, comeback iko pale pale! You just choose to look the other way, wataalamu wengine wanaita "denial".
Una uhakika kuwa huu msemo unamaanisha tukio ya mbeleni pekee? Kwa sababu mimi ishu yangu hapa ni kwamba huu msemo unaweza ku-apply kwa tukio lililotokea siku za nyuma.
La hasha! Unajuaje kuwa hilo jambo zuri unalolilalia mlango wazi limeshatokea siku za nyuma?
Je tunapinga kwamba kila kitu kina sababu?
Kwa hiyo unasema nitajuaje kwamba jambo lililotokea leo (kwa mfano jambo baya kama kuanguka kwa ndege) limesababishwa na jambo zuri lililotokea nyuma?
Jambo zuri la nyuma limesababisha jambo baya la leo?