Kuna msemo ninaouchukia sana,
vijana wakihojiwa tu, wanasema unajua wenzetu wakenya wanauwezo zaidi.
sisi shule zetu hazijatuwezesha kujieleza.
kuna namna fulani watu wanajisikia wanyonge, wakati kiuwezo wanao kabisa positive mentality tutaitoa vipi?
hii ndio inatumaliza kabisa kwa mtazamo wangu.
je kama wewe huwezi kitu, je hujamuona mtanzania mwenzio anaeweza ukamsifia???
lazima umsifie mtu wa nje?
je tunachukiana kiasi hicho?
Manake ukiangalia watu wa nje wanaapreciate sana kazi za watanzania.
tungaingiza vipi mentality ya mtanzania (hasa kijana) kumpenda na kuapreciate kazi ya mtanzania mwenzake?