Msemo gani wa kiswahili unakukera?

"Shoga yangu "
Yaani nikisikia hilo neno nakereka, hata kama waschana /wanawake wanaitana hivo.
Kwa nini wasiitane "rafiki"
Kwan lazima kusema ushoga
 
"Muungwana akivuliwa nguo huchutama" huu msemo bwana,sasa mambo ya kuvuliwa nguo afu unachutama,yakheee hii sio sawa
 
"Jiongeze" - Sijui kwanini huwa wanaamini mpaka hapo nilipofika sikujiongeza

"Sio rahisi kama unavyodhani" - Unajuaje kwamba nadhani ni rahisi. Mbaya zaidi unajua hadi 'kiasi ninachodhani'
 
nikisikia PDF imetema halafu nikiwaza sikuweka barua ya kujitolea kwenye kuomba ajira
 
"Muungwana akivuliwa nguo huchutama" huu msemo bwana,sasa mambo ya kuvuliwa nguo afu unachutama,yakheee hii sio sawa
Sasa umeshawahi kuona wapi mtu akivuliwa nguo au kanga ikspeperushwa na upepo mtu akasimama wima? Lazima uchuchumae (kuchutama) ili kuficha zana za kazi zisionekane...
 
Back
Top Bottom