Msemakweli;yuko tayari kuhamia chadema

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Felix msemakweli mbunge wa nccr amekiri kuwa nccr ikiacha kutii na kusimamia maslahi ya watanzania yuko tayari kukipiga chini na kujiunga na chama chochote cha upinzani hata chadema.

Source star tv leo asubuhi
 
Kama this is true inabidi Mbowe and Company wamfate haraka na kumkaribisha kwenye mapambano...... Even in exchange Kwa wale wabunge ambao wamekwenda kwenye media na kusema kuna wabunge walipinga walkout ya raisi bungeni
 
Sahihisho kidogo mkuu.........Aanaitwa Felix Mkosamali na si Felix Msemakweli
 
Ameanza spinning kabla hajakaa kwenye kiti. Akienda ccm ndio mwisho wake na hiyo shule hamalizi .
 
Mbona anaweweseka mapema? tulia dogo hata sisi huku hatupokei watu wenye imani ndogo. Tulia kwanza tukuthathmini kabla hujaja kwetu tusije jilaumu:whoo:
 
Yes, atulie kwanza kisha amalize shule ndipo aingie katika chama cha mapambano! Anahitaji kusoma alama za nyakati vizuri. Dogo, piga shule kwanza, ni ushauri wangu tu!
 
Kwanini arudi Chadema? Sialiondoka Chadema mapema mwaka huu akisema kuwa uongozi wa juu unawapelekesha na hausikilizi mawazo mapya ya vijana?
Au Kichwa cha habari kilitakiwa kuwa yupo tayari kuhamia CCM ili kukamilisha mzunguko wa kisiasa!
Wanasiasa wa Bongo bwana.......njaa tupu, sasa amepata pesa ya kulipa deni lake SAUT amekuwa na kiburi. Hio ni kama dharau kwa waliomchagua.
 
Mbona anaweweseka mapema? tulia dogo hata sisi huku hatupokei watu wenye imani ndogo. Tulia kwanza tukuthathmini kabla hujaja kwetu tusije jilaumu:whoo:

thawa kabitha mkuu,inabidi atulie kwadha tuthije chukua mwafu
 
Felix msemakweli mbunge wa nccr amekiri kuwa nccr ikiacha kutii na kusimamia maslahi ya watanzania yuko tayari kukipiga chini na kujiunga na chama chochote cha upinzani hata chadema.

Source star tv leo asubuhi
walewale. Hakuna jipya.
 
Felix msemakweli mbunge wa nccr amekiri kuwa nccr ikiacha kutii na kusimamia maslahi ya watanzania yuko tayari kukipiga chini na kujiunga na chama chochote cha upinzani hata chadema.

Source star tv leo asubuhi

Kauli hii imechuja kidogo ...ningelifurahi kama angelikitaja chadema moja kwa moja badala ya kudai ya kuwa .........hata Chadema...................
 
NCCR nacho Chama? ......labda wamtimue mbatia....mamluki mkubwa! nawaonea huruma sana madogo...wanapoteza muda wao kwenye chama kisicho na dira!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom