"Msemakweli Mpenzi wa Mungu na Adui wa Dola"

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,792
71,206
Dola hii ya awamu ya tano chini ya Magufuli imedhihirisha usemi wake kuwa Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ila sentensi hiyo kumbe haikuwa imemalizika na kusema adui wa dola.

Haya yamedhihirika hasa kwa mwanasheria Tundu Lissu kutufahamisha kuwa ndege yetu ambayo mkulu alitambia sana kisiasa hasa baada ya kuinunua cash imekamatwa na tunadaiwa pesa mingi sana.

Serikali kupitia Zamaradi Kawawa nayo ikakiri kuwa ni kweli ndege imekamatwa, kwa hiyo Lissu hadi hapo ni msemakweli mpenzi wa Mungu. Lakini dola imeonyesha kuwa kusema kweli upenzi wake unaishia hukohuko kwa Mungu kwetu dola ni Adui na lazima ashughulikiwe.

Ni vema mzee akisimama tena jukwaani sasa amalize kabisa hiyo sentensi ili watu wajielewe, 'Msemakweli mpenzi wa Mungu na adui wa dola'.
 
Yani JF siku hizi imekuwa muda wote anajadiliwa Tundu Lissu,nawashangaa watu wenye kumsema Profesa Lipumba kuwa pamoja na usomi wake ila anatumika tu ccm wakati huku JF ma GT akili zao zote wamemkabidhi TL kwa kila atakalolifanya na kusema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anamjadili Tundu hapa? hapa inajadiliwa hoja ambayo ni bahati tuu kuwa imeanzishwa na Tundu. Sijui wewe ulitaka ajadiliwe nani? Diamond? au Hadija Kopa?
 
Dola hii ya awamu ya tano chini ya Magufuli imedhihirisha usemi wake kuwa Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ila sentensi hiyo kumbe haikuwa imemalizika na kusema adui wa dola.

Haya yamedhihirika hasa kwa mwanasheria Tundu Lissu kutufahamisha kuwa ndege yetu ambayo mkulu alitambia sana kisiasa hasa baada ya kuinunua cash imekamatwa na tunadaiwa pesa mingi sana.

Serikali kupitia Zamaradi Kawawa nayo ikakiri kuwa ni kweli ndege imekamatwa, kwa hiyo Lissu hadi hapo ni msemakweli mpenzi wa Mungu. Lakini dola imeonyesha kuwa kusema kweli upenzi wake unaishia hukohuko kwa Mungu kwetu dola ni Adui na lazima ashughulikiwe.

Ni vema mzee akisimama tena jukwaani sasa amalize kabisa hiyo sentensi ili watu wajielewe, 'Msemakweli mpenzi wa Mungu na adui wa dola'.
So what?Kuzuiwa ndege umepata nini?Pili pili usizokula zakuwasha nini?
 
Mbaya zaidi ni kwamba huu utendaji wake wa hovyo ulikuwa unajulikana kwa miaka mingi sana. Mama Janeth Magufuli mtu ambaye anamfahamu kwa karibu kabisa hakuona kama ana sifa ya kustahili kuwa kiongozi wa nchi hivyo akagoma kumfanyia kampeni lakini wale mafisadi Mkapa na Kikwete wakamshikiza na kuweka mbele maslahi yao badala ya yale ya Tanzania na Watanzania sasa hofu kubwa imetanda nchini kwa uwepo wa huyu dikteta uchwara na mpiga madili mkubwa.
 
Kweli mamburula ni wengi...
Pilipili yenyewe kila mwananchi anaila na kumuwasha, kodi zetu zinatumika kwenye mambo yaliyofanywa kwa maamuzi ya kipuuzi na kishenzi, then wewe unakuja na povu lako la majani ya mapapai...
Wananchi wanakosa huduma muhimu lakini kwa uklaza wako wewe hilo hulioni...
 
Yani JF siku hizi imekuwa muda wote anajadiliwa Tundu Lissu,nawashangaa watu wenye kumsema Profesa Lipumba kuwa pamoja na usomi wake ila anatumika tu ccm wakati huku JF ma GT akili zao zote wamemkabidhi TL kwa kila atakalolifanya na kusema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa utumbo huu uliopost na wewe tunakupa like kama ndivyo unavyotaka. Shallow minds discuss people like you did in your post but broad minds discuss events.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi ni kwamba huu utendaji wake wa hovyo ulikuwa unajulikana kwa miaka mingi sana. Mama Janeth Magufuli mtu ambaye anamfahamu kwa karibu kabisa hakuona kama ana sifa ya kustahili kuwa kiongozi wa nchi hivyo akagoma kumfanyia kampeni lakini wale mafisadi Mkapa na Kikwete wakamshikiza na kuweka mbele maslahi yao badala ya yale ya Tanzania na Watanzania sasa hofu kubwa imetanda nchini kwa uwepo wa huyu dikteta uchwara na mpiga madili mkubwa.
Fact Mkuu..
Huyu Mama kumkatalia kumfanyia kampeni ilikuwa tayari ni disqualification tosha kwa jk na Mkapa kumpiga chini huyu mtu..
Ona alivyoivuruga Tanzania.
 
Back
Top Bottom