Msemakweli LIVE kwa DPP

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Leo waandishi wa Hahari walikaa chonjo kwa kumsubilia Msemakweli kwa DPP kuleta Ushahid
lakini cha ajabu jamaa kaenda mitini.
Sijui jamaa kaishia wapi vipi alikuwa anatishia nyaU?
 
Nyie huyo kijaana anaitaji kuishi nchi ya ahadi unahisi ameenda kuuza sura kaulize acc yake iemechekaje wiki hii sahau kumwona kwa feleshi huyo sikuhizi anakunywa chai na rostam aziz
 
Jeykey, wake up from your slumber! The evidence Msemakweli had was presented to DPP last week.


hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


this is hilarious!!! jamaa pamoja na posho zote za magamba kapotea stepuduh
 
Back
Top Bottom