Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, amesusa kusoma hotuba

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
pic+bungeni.jpg

Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Ally Salehe amesusa kusoma hotuba yake ya upinzani kuhusu wizara hiyo baada ya kulazimishwa kuacha kusoma baadhi ya maneno yakiwamo yanayohusu Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar na mgogoro wa CUF.

Hali hiyo imetokea bungeni leo Jumatatu baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG), George Masaju kusimama na kupinga baadhi ya maneneo aliyotumia kama “Kila wizara imekiona cha moto, wamebanwa mpaka wamevunjwa mbavu” na kuwa Ofisi ya Makamu wa Rais imeathirika vibaya na kisu cha ngariba kwa kukata bajeti yake.

Baada ya malumbano, Mwenyekiti wa Bunge, Musa Zungu alitoa uamuzi kuwa maneno yaliyoandikwa kuanzia ukurasa wa tatu hadi wa saba kwenye hotuba hiyo yasisomwe wala kurekodiwa kwenye kumbukumbu rasmi za Bunge.

Baada ya uamuzi huo, Salehe alisema basi asingeendea kuisoma hotuba yake na yaliyobaki anamwachia ngariba afanye anavyotaka.
 
Ukurasa wa tatu mpaka waisisomwe,maana yake ni zaidi ya maneno hayo,twaweza kusema ni zaidi ya nusu ya hotuba imezuiwa,ni sahihi kkugoma maana wanawapangia kipi cha kusema kipi wasiseme ili kuwafurahisha watawala na chama chao. Bunge linapotaka kuwaandikia kambi ya upinzani hotuba!!
 
Ukurasa wa tatu mpaka wa saba mbona parefu sana hapo? Bora amekataa kuendelea kusoma maana kusingekuwa na flow yoyote na isingeleta maana.

Ngariba ni nani tena huyo!?
 
Tusimtafute mchawi kwenye uchaguzi maana wananchi watafika mahala tutachoka na mamabo ya kususasusa, pigeni kazi acheni mambo ya misuso
 
Utachoka wewe usiuyejitambua, ukiwa na akili hata ya kuazima utajua sababu ya kufanya wasuse, this is dictatorial government.
Kama huna mapungufu why worry?
Sasa wewe ni boya kweli, sasa Ukisusa unamkomesha nani? government ama¿ akili haipimwi kama maharage bali kwa namna unavyofikiri
 
pic+bungeni.jpg

Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Ally Salehe amesusa kusoma hotuba yake ya upinzani kuhusu wizara hiyo baada ya kulazimishwa kuacha kusoma baadhi ya maneno yakiwamo yanayohusu Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar na mgogoro wa CUF.

Hali hiyo imetokea bungeni leo Jumatatu baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG), George Masaju kusimama na kupinga baadhi ya maneneo aliyotumia kama “Kila wizara imekiona cha moto, wamebanwa mpaka wamevunjwa mbavu” na kuwa Ofisi ya Makamu wa Rais imeathirika vibaya na kisu cha ngariba kwa kukata bajeti yake.

Baada ya malumbano, Mwenyekiti wa Bunge, Musa Zungu alitoa uamuzi kuwa maneno yaliyoandikwa kuanzia ukurasa wa tatu hadi wa saba kwenye hotuba hiyo yasisomwe wala kurekodiwa kwenye kumbukumbu rasmi za Bunge.

Baada ya uamuzi huo, Salehe alisema basi asingeendea kuisoma hotuba yake na yaliyobaki anamwachia ngariba afanye anavyotaka.
Kwahiyo?
 
Tutaikuta kesho kwenye Mtandao usiwe na shida.

AG ni kada wa CCM tunamfahamu.
 
Back
Top Bottom