Msemaji wa simba akiri mashabiki wa simba huchangia kujaza viwanja mechi za yanga, Je simba haiwaridhishi??

Yanga walikuwa wanapiga pira mnato, kisheti, sugar sukari kiasi kwamba makolo wakakosa hamu ya kuangalia mechi zao ikabidi wafarijiwe na mechi za Yanga.
 
Ezekiel Kamwaga - Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano - Simba SC

View attachment 1948760

HITIMISHO

1. Ukisema unaenda kuangalia timu ya mwenzako maana yake kuna kitu bora unakwenda kukiona ambacho timu yako haina

2. Mashabiki wa Simba walikuwa wanaacha kuangalia mechi zao na wanakwenda kuangalia Game za Yanga

3. Mashabiki wengi kwenye game za Yanga wanavaa jezi za yanga, kwahio hao mashabiki wa simba walioenda mechi za yanga walikuwa wanavaa Jezi za Yanga.

4. Kama wanapenda mpira Mbona hawaendi kwenye mechi za azam , namungo, kmc, biashara united n.k ambazo zimeshikilia nafasi za mwisho kwenye mauzo ya tiketi, Ni wazi walikuwa wanapenda kwenda kuangalia mpira wa Yanga tu.

5. Miili inalazilimika kuwa simba ila akili na moyo upo yanga
Sasa hicho kitu bora kutoka Yanga kwenye misimu 4 mfululizo Ni kipi.

Tungekubaliana kwamba mpira ni burudani na mashabiki wa Simba ndiyo hupenda kwenda uwanjani.

Yanga hawaendi kwasababu ni watu waliokata tamaa. Unaenda uwanjani unapoteza muda wako na pesa kumwangalia Nchimbi na Sarpong.
 
Huyu aliyeleta Uzi Kala Ada ya Familia! Yani Kiswahili chepesi kama hicho cha Kamwanga ameshindwa kukielewa. Sishangai kuwa Wingi wao wote wameshindwa Kesi na Morisson mmoja.

Hoja iko wazi:
  • Washabiki wa Yanga hawapendi Mpira bali wanapenda Timu yao tu ndiyomana hawendi kuangalia mechi za Simba bali wanaangalia Mechi za Timu yao tu.
  • Washabiki wa Simba wao walipenda Mpira kwanza kabla ya kupenda Timu hivyo wanaingia uwanjani kwenye Mechi za Simba na Mechi za Yanga.

Simple logic Yani umeihemkia
 
Back
Top Bottom